Dar es Salaam uncovers massive land use violation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dar es Salaam uncovers massive land use violation

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Geza Ulole, Jul 14, 2010.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,068
  Likes Received: 4,000
  Trophy Points: 280
  By BILHAM KIMATI, 13th July 2010 @ 16:00, Total Comments: 0, Hits: 5

  A PROBE team formed last month by the Dar es Salaam Regional Commissioner, Mr William Lukuvi, has discovered that 104 open space plots out of 154 surveyed sites were illegally occupied.

  The team has discovered that indiscriminate change of land use plans in Dar es Salaam could not have been possible without the patronage of dishonest land officials, some known to have issued land occupancy documents to family members.

  Presenting the report to the RC at his office yesterday, the team leader, Ms Albina Burra, said Kinondoni was notorious in open space grabbing whereby 88 out of 110 open space sites visited in the municipality were taken for different use.

  "I commend the team because within 25 days of intense probe from June 18 to (yesterday) July 13, it probed the matter and compiled this thick report with proposals that will be used to redress the situation," Mr Lukuvi said.

  The team drew its members from the police force, the army, prisons, land officers, city planning office and academics.

  The first step towards restoration of the snatched land, said Lukuvi, would be to hold an urgent meeting with members of the regional security and defence committee prior to legal and disciplinary action against people behind the racket.

  "This is the first report ever that is seriously addressing land problems in Dar es Salaam. I am not surprised to hear that land grabbing is rampant in Kinondoni. But one thing for sure is that both legal and disciplinary measures will be taken against all culprits," the RC pledged.

  After learning about massive cheating and double allocation of land in Kinondoni early last month, the regional commissioner formed two separate probe teams.

  The first surveyed the three municipalities of Dar es Salaam -- Temeke, Ilala and Kinondoni -- and finally presented the report yesterday.

  The second team of inquiry was assigned with the duty to gather information from office files in municipal land department to uncover tricks involved in changing land use and ownership. The team is also scheduled to present its report today.

  Sources from within the team revealed that indiscriminate forgery of signatures and forged stamps facilitated the illegal occupation of land.

  "Some of these places have been turned into department stores gradually taken under the pretext of being a political party project, some with guest houses, filling stations and local markets," the source revealed.

  It was further learnt that among the recommendations, was immediate demolition of structures coupled with legal measures against 'owners' together with land officials who assisted on the cheat.

  Previously, the Special Zone Police Commander, Mr Suleiman Kova, had said that police in Dar es Salaam had interrogated a dozen of people in connection with the land fraud in Kinondoni Municipal Council.

  He said that more people were lined up for questioning, but declined to disclose the number, adding that the suspects would be prosecuted after completion of investigations.

  It all started when Mr Lukuvi suspended Kinondoni Municipal Land Officer, Mr Magesa Magesa together with 16 other officials to facilitate investigations on land related fraud.

  Five Kinondoni Municipal councillors including the Municipal Mayor, Mr Salum Londa, together with the Municipal Director, Mr Noel Mahenga, were also nabbed in connection with the scam.

  Other councillors already questioned by the police include Mr Eliachim Magafu (Manzese ward), Mr Rajab Suleiman Hassan (Makurumla) and Salum Mwaking'inda (Sinza).

  Kinondoni Municipality has repeatedly been accused of issuing dubious land ownership permits including reserved open space.
  Daily News | Dar es Salaam uncovers massive land use violation

  MY TAKE
  Good news big up RC for the good job you are undertaking make sure all the structures on open spaces are demolished and culprits fell behind the bars!
   
 2. Bourgeoisie

  Bourgeoisie JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2010
  Joined: Mar 26, 2009
  Messages: 611
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Tunakuombea Lukuvi uendelee kuyafichua maovu haya na kuwachukulia watuhumiwa hatua za kisheria, na kamwe yasikukute yaliyowahi kumkuta waziri mmoja wa ardhi kwa kuhamishwa wizara baada ya kutangaza azma yake ya kuwashughulikia mafisadi wa ardhi na nyumba za serikali.:sick:
   
 3. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2010
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ofisi za Arthi na Upimaji za Wilaya zitafunguliwa lini?
   
 4. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Tanzania, Tanzania, Nakupenda kwa Moyo woteeeeeeeeeeeeee
  Nchi yangu Tanzania, Jina lako ni Tamu sanaaaaaaaaaaaa...

  Endeleeni...
   
 5. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nadhani mkuu alisema kazi zinaendelea isipokuwa chumba cha kumbukumbu za nyaraka muhimu ndio kilifungwa kupisha uchunguzi. Kama una shida ya msingi sana na haitoathiri matokeo na vielelezo vilivyomo kwenye taarifa watakusaidia. Leo jamaa wa Ardhi university wanakuja na ripoti yao leo

  Ni hayo mkuu
   
 6. r

  rimbocho Member

  #6
  Jul 14, 2010
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ni danganya toto. Mbona Makamba hawakumhoji wakati nae alitajwa.

  Sidhani kama CCM inhitaji hiyo ripoti, huu ni ujanja wa Lukuvi il akipigwa chini ubunge basi aendelee na ukuu wa mkoa.
  God bless Tanzania
   
 7. M

  Mundu JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2010
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Moja katika masuala ambayo ripoti yake imetolewa kwa wakati ni hii inayohusu matumizi mabovu ya ardhi/maeneo ya wazi katika jiji letu. Cha msingi ni kuyafanyia kazi mapendekezo yale ya wataalamu. isije ikawa kama (samahani kwa kuwakumbusha hili) mapendekezo ya RICHMOND ambayo hadi leo mimi na wewe hatuna uhakika kama yamefanyiwa kazi au bado yanaendelea kufanyiwa kazi.

  Kinadharia, Serikali pia inapaswa kuendelea na hili (kuchunguza) katika halmashauri za miji mingine mingi tu ya nchi yetu. Suala la kuchukua hatua nionavyo mimi litakuwa na ububu na ukiziwi mzito kwakuwa waliohusika tutakuja kuambiwa ni watu hatari sana na Serikali inapaswa kuchukua tahadhari kubwa, ili kuweza kuthubutu kuwachukulia hatua.
   
 8. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,944
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Isijekuwa Lukuvi anatumiwa ku-revenge au ni yeye mwenyewe ana-revenge! Hivi kweli ni uchungu wa maendeleo ya nchi? Au ni kutaka vigezo vya kupata uwaziri?
   
 9. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #9
  Jul 14, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hiyoo ripoti nitashangaa kama badoo hadith zitaendelea kuwa wenye makosaa watachunguzwaa na kuchukuliwaa hatuaa..hatuhitajii hayoo maneno tenaa..tekelezenii..

  hao waliofanya na washirika wao wanajulikanaa peupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee....

  tena lukuvi huna haja tena ya kuzungumziaa ripoti hiyoo..kabidhii polisi, pccb na dpp aendelee na kazii..
   
 10. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Angalau amaefikia hapo; tunampongeza na tutoa mwito kwa hatua kubwa zaidi:A S tongue:
   
 11. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mashaka ya nini mkuu? Jiweke katika hali ya kuona kuwa lililopaswa kufanyika limefanyika. Kama sio muathirika wa hili hutokuwa na hofu. Tujaalie kuwa analipa kisasi, watakaofaidika ni akina nani? Jibu ni kuwa, wewe, mwanao na walio jirani na hayo maeneo kwa kuwa yana maslahi ya umma.
  Jitahidi kujenga dhana nzuri kwenye jambo linalotetea maslahi ya umma. hata kama hatua hazitachukuliwa lakini kumbukumbu itakuwepo kwa kizazi kilichopo kuwa kuna taarifa haijafanyiwa kazi na wataiibua.

  Nampongea Lukuvi kwa hatua hii

  Wapi Magesa (Papaa ya Kilo)
   
 12. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #12
  Jul 15, 2010
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,276
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Lukuvi azidi kutikisa Dar
  na Betty Kangonga

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, William Lukuvi, ameendelea kuonyesha makucha yake baada ya kuwahamisha wafanyakazi 79 wa vitengo vya ardhi kutoka manispaa za Temeke, Kinondoni na Ilala kwa tuhuma za uuzwaji wa viwanja vya maeneo ya wazi.
  Mbali ya uamuzi huo, pia Lukuvi amewahamisha wafanyakazi 39 kutoka vitengo mbalimbali nje ya Mkoa wa Dar es Salaam huku akiwasimamisha kazi maofisa wawili wa Manispaa ya Kinondoni kwa muda usiojulika.
  Katika kuonyesha serikali ya mkoa wake imechoshwa na vitendo vya uonevu, amewataka wananchi wote waliojenga katika maeneo ya wazi kufanya utaratibu wa kuondoka mara moja au kupeleka vielelezo vya ushahidi kabla wakurugenzi wa manispaa zote tatu hawajatoa agizo la kubomoa nyumba zao.
  Akizungumza wakati wa kupokea ripoti ya taarifa ya tathmini ya taratibu ya utawala na upatikanaji wa viwanja kutoka masjala zote za mkoa huo jana, Lukuvi alisema watumishi hao wamehamishwa kutoka kada mbalimbali huku wapiga chapa wote wakiondolewa kutoka ndani ya vitengo vyote vya manispaa hizo.
  Alisema amewasimamisha kazi, Mkuu wa Upimaji wa Ramani wa Kinondoni, Hamidu Mgaya na aliyekuwa msaidizi wa mkuu wa kitengo cha ardhi, John Langasi, ambaye alitoa hati ya kuthibitishwa kuvunjwa kwa ofisi ya Kata ya Msasani.
  "Leo (jana), tumewakabidhi barua zao, ambapo watumishi 39 wamehamishwa nje ya mkoa huu kabisa na 40 wao ni ndani ya mkoa na maofisa wawili wa Manispaa ya Kinondoni tumewasimamisha kazi," alieleza Lukuvi.
  Alisema uamuzi huo umetokana na mapendekezo yaliyotolewa na kamati zote mbili.
  Alisema mtandao mkubwa wa uuzaji wa maeneo hayo uko ndani ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, jambo alilomuomba katibu mkuu wa wizara hiyo kuuvunja.
  Alisema ripoti hizo zitakabidhiwa kwa taasisi mbalimbali, zikiwamo wizara husika, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Idara ya Usalama wa Taifa na Jeshi la Polisi, ili kufanya uchunguzi wa kina zaidi.
  Alizitaka taasisi hizo kuhakikisha wanakamilisha masuala hayo ya kiuchunguzi na kuchukua hatua ndani ya miezi minne tu.
  Alisema serikali imelirudisha eneo la Africana Garden, ambalo inasemekana liliuzwa kinyemela na kuwataka waliohusika wapeleke ushahidi.
  "Napenda kuwasihi watumishi wa ardhi kutokubali kupokea vikaratasi wala kulazimishwa na mtu yeyote, awe kiongozi wa siasa au dini, naomba waache kabisa, wanatakiwa kufuata sheria ili kuweza kupata viwanja," alisema Lukuvi.
  Kiongozi wa Kamati ya Tathmini ya Masjala, Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Sabuni John, alisema katika uchunguzi wao walipitia mafaili 1,240 kwa siku tano, ambapo walikuwa timu ya watu 19 waliogawana katika makundi matatu.
  Alisema waligundua asilimia 90 ya viwanja katika Manispaa ya Kinondoni vimeuzwa bila kufuata utaratibu, Ilala asilimia 30 huku Temeke wakipata asilimia moja.
   
 13. bona

  bona JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  walifikia hatua wanauza kiwanja kwa watu wawili au watatu tena wote wanawapa document halali then likifumuka wanawaacha mkapambane mahakamani, wengi wameachia viwanja kwa stahili ii ingawa walishatoa pesa zao kwani unakuta mtu uwezo wa kupambana na mtu fulani mahakamani hana kifedha kwani kwa mfumo wa sheria wa sasa huwezi endesha kesi bila fedha!
   
Loading...