Jpn Legend in Tanzania- Show Me Campaign!!

Mkeshahoi

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
2,469
281
Sio kama nasifia.. ila nimefurahishwa na ziara yake ya kimyakimya bongo. Baada ya show kali na kucheki vuvuzelaz South Africa, akenda kuona maendeleo ya kampeni zake huko kwetu Uyui-Mbola Village!!

Mungu amrudishie panye jema alotenda!! BIG UP!!

NB: Nimependa alivokuja bila mbwembwe na bashasha...!!

hebu iangalieni hiyo wadau
Back from Africa! | The Official John Legend Site
 
Back
Top Bottom