Hivi hii nchi ni ya vichwamaji???? Aaaaagh.

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
Wakuu nina ndugu yangu ambaye alipata udahili katika chuo kikuu cha TUMAINI campus ya Iringa na anachukua (BaEd). Tangu amejiunga hadi sasa hawajapata mkopo na katika kufuatilia bila mafanikio wakaamua kugoma leo lakini kabla hawajaanza mgomo wao wakakaa kikao na mkuu wa chuo ili kumhoji na alipoona maswali yamezidi aliwajibu kwa hasira kuwa "mkitaka mwende popote, kozi yenyewe haijasajiliwa halafu mnakuja juu" sasa je, hivi serikali inawezaje kuruhusu chuo kufundisha masomo ambayo hayajasajiliwa TCU? Hi nchi inaongozwa na watu gani? Au ni mazuzu? Nawasilisha.
 
Leo ndo unaamka??Nawa uso alafu uangalie vizuri!Ni hovyo zaidi ya unavyofikiria!
 
pole ndugu yangu hiyo ndio awamu ya nne ovyooo nahapo wanacheza na life ya watu bcs una maliza 3 years unakuja kuambiwa chuo hakijasajiliwa..
 
Wakuu nina ndugu yangu ambaye alipata udahili katika chuo kikuu cha TUMAINI campus ya Iringa na anachukua (BaEd). Tangu amejiunga hadi sasa hawajapata mkopo na katika kufuatilia bila mafanikio wakaamua kugoma leo lakini kabla hawajaanza mgomo wao wakakaa kikao na mkuu wa chuo ili kumhoji na alipoona maswali yamezidi aliwajibu kwa hasira kuwa "mkitaka mwende popote, kozi yenyewe haijasajiliwa halafu mnakuja juu" sasa je, hivi serikali inawezaje kuruhusu chuo kufundisha masomo ambayo hayajasajiliwa TCU? Hi nchi inaongozwa na watu gani? Au ni mazuzu? Nawasilisha.

kama ni kweli basi ndo mambo ya bongo - tz authority zipo lakini watu walioko kwenye hizo authority wako busy kuangalia mambo yao binafsi
 
Tanzania ya sasa, si kama ya Mwalimu. Kwa sasa hakuna mtu wa kukemea kutokuwajibiki kwa mtu yeyote. MIMI KAMA MIMI NAAMINI KUWA NCHI YA TANZANIA INAJIONGOZA YENYEWE NA WALA HAKUNA KIONGOZI...... JK mwenyewe kila siku kwenye birthday parties....patamu hapo!!!!!!
 
sishangai kila jambo awmu ya 4 ni uvundo mtupu ikulu ni mzigo mkwere akadhani labda anaenda kubeba magunia ya misumari kumbe tulihitaji m2 mwnye uwez wa kupembua mambo...................
 
Leo ndo unaamka??Nawa uso alafu uangalie vizuri!Ni hovyo zaidi ya unavyofikiria!

nilisha amka lakini roho inauma sana kuwapotezea watu muda bure na kwa makusudi. Sisi kweli ni ma Bongolala. Utapeli hadi kwenye elimu!
 
Kodi yote iishie kwenye kukopesha watu binafsi!? Ndiyo maana Kagame (wa Rwanda) kaona mbali kaifutilia mbali juzi.
 
ukitaka kulia xzaidi recall the speech aliyokuwa akitoa wakata wa gaduation ya udom. that guy is joke
 
usitake nilie mie gharama zote walizotumia kozi haijasajiliwa yaani kama uwezo ningekua nao ningemtafuna mbichi
 
sishangai kila jambo awmu ya 4 ni uvundo mtupu ikulu ni mzigo mkwere akadhani labda anaenda kubeba magunia ya misumari kumbe tulihitaji m2 mwnye uwez wa kupembua mambo...................

Mkwere alijua Ikulu ni sehemu ya kwenda kufanya birthday tuuuu!!!!! NCHI INA MAMBO MENGI YA MSINGI AMBAYO YANATAKIWA UFUMBUZI.....JAMAAA (MKWERE) ANANISHANGAZA HUYU??
 
Kwakweli nchi hii ni ya vichwasoda.
Ila ikumbukwe kuwa sio vyuo vyote vimekuwa qualified na HElSB kupata mkopo. Inawezekana hicho chuo ni kimojawapo. Pia inawezekana hizo pesa zimefanyiwa mchezo mchafu na chuo.
Hao madogo wastuke.
 
Back
Top Bottom