Wa mwisho kulaa hapa jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wa mwisho kulaa hapa jf

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kauzu, Jan 11, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. kauzu

  kauzu Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Jamani mi naenda kulala naomba kwa uaminifu,naomba nimjue wa mwisho kulala hapa jf,kama ni wewe kabla hujalala,comment kwenye hii thread,kesho nitaicheki mshindi nitampa zawadi:a s 101::a s 101::a s 101:
   
 2. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Haya, ukiamka ujibu swali: Una umri gani kijana?
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  inategemea na time zone..wengine huko asia ni asubuhi saa hizi na waliopo america ndo jioni sasa sijui utajuaje..we kalale tu usijichoshe hapa moto ni constant
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Bora umemwambia huku New York ndo kwanza tunaenda nunua pizza,tuweke kahawa jikoni na hili libaridi tukale na Inkoskaz wangu then tulale huko aliko wakiwa wanaamka.....LOL
   
 5. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  si limbwata wala nini..ni maneno matamu yanatosha kutulia
   
 6. I

  IronLady Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mi niko iringa tz.Ndio nalala sasa.Saa hizi ni saa 1:35 ila nawaona kina Rev Msanailo wanachungulia.......
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  wasalimie mshindo na mkimbizi
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  either <12 or >60.
   
 9. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,082
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mutu iko lala lakini JF hapana lala! iko nakesha tu.
   
 10. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Watu hawajui mapenzi hayahitaji nguvu,maneno matamu tu na kujaliana hakuna ziada,wasome kutoka kwetu.............LOL
   
 11. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  unamsemea. He is must be under 12 kutokujua kwamba dunia duara na JF si kwa ajili ya walioTZ pekee bali dunia nzima.
   
 12. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,319
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  nyama ya ulimii
  lainii
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...