Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,276
Nimeamshwa na messege hii kwenye simu yangu nanukuu "Congrats!!! Your Mobile number has won 240,000 Pounds Sterling in the Ongoing NOKIA Mega Jackpot, for claims call: +44-704-570-6131 or Email: nokia631@yahoo.com" Mwisho wa kunukuu.
Kilichonishangaza kuclaims unapiga +44 .............. ila msg imetumwa kutoka +233547326220 hapo ndo panapoanzia utapeli hii namba kama ya afrika magharibi hivi kwa wataalamu wa kutapeli.
Kuweni macho nimeona niilete ili kuwapa taarifa.
Kweli mie natumia nokia E66 lakini huu ni utapeli.
Nawatakia asubuhi njema.
DA