Je kwa kuwa ni mwaka wa Uchaguzi wakoloni watatulegezea na kuleta mafao zaidi uraiani? Au ndo yaleyale ya kuleta Brazil, ziara zisizo na mantiki, blah blah za kumwaga?
Nasikia Mkwere alikuwa...
Kuna mwalimu mzuri sana anafundisha hisabati kwa wale wanaojiandaa na mitihani, his methodologies are the best na ninapendekeza mwenye kijana wake (form I to form IV) aende akamuene huyu mwalimu...
Kwanini City ya Dar isitumie pesa ya michango ya City kufungua parks!! mji gani wa kisasa hauna parks!!
Minister in the Prime Ministers Office (Environment) Dr Batilda Burian yesterday said...
Mineral exports top US$1 billion
by: Business Reporter
MINES and Mining Development Minister Obert Mpofu says Zimbabwe exported close to US$1 billion worth of minerals in the...
Mimi ni Mstaafu.
Nilikuwa nimeishapiga mahesabu ya kuona WC bure kutokana na matangazo ya TBC hadi jamaa walipogeuza kibao ghafla!
kwa sasa hivi sina Ubavu wa kununua Decorder zao.
Binafsi, sina...
Mmh
jamani yaani mpaka basi ukisikia net,msaada wa marekani.bajeti msaada wa marekani yaani kila kitu kwa msaada wawatu wa marekani hii kitu inaisha lini mkuu wetu ??tumechoka na hao wamarekani ni...
Kwa walioona taarifa ya habari ya juzi mtasikitika kuona serikali yetu ilivyo na hela inavyoweza kuleta wabrazil kwa billion tatu huku watoto wa shule ya muheza huko tanga wakiwa na huzuni kubwa...
Yaani serikari inatumia pesa nyingi hivi kuchimba visima vya maji wakati tumezungukwa na maziwa makubwa matatu.Kwa nini serikari isitumie hizi hela kusambabza maji ya bomba?
Au ndio opportunity...
Red mercury scams were popular in 1990's after the disintegration of the soviet union. Some big shots like Saddam Hussein were the first among the victims of this scam as it was claimed that red...
wala si siri hapa hivyo hamna sababu ya kuficha kitu. Watu wanahamasika kuangalia vitu ambavyo hawakupanga ila wanafanya hivyo na hatimaye kuingia vishawishini kutokana na huu utaratibu wa kila...
UDA kutumia Sh 24 bilioni kuagiza mabasi ya abiria
Elizabeth Ernest
KAMPUNI ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), imesema itatumia Sh 24 bilioni kununua mabasi 150 ya abiria yatakayotumia gesi...
Wadau,
It is almost one year since Kilimo Kwanza Programme came into life.
I am in knowledge search of any documents/website links/reports that have tapped into this important campaign...
Wajameni ni jambo la kushangaza na kwa upande mwingine kusikitisha.
Nashindwa kuelewa kama CRDB wamechoka wateja au wametosheka na kipato hivyo kutokujali tena wateja wao. Amini usiamini mpaka...
Kuna kipindi cha hivi karibuni niliwahi kusoma habari za magazetini , TZ wanajiandaa kuotesha mazao ya GM sasa kuna maswali tujiulize inakuwaje hawa walio endelea wanakwepa kuoteshwa nchini mwao ...
Tanzania attractions need intensive marketing - US tour operators
By Beatrice Philemon
9th June 2010
Tourists at Selous Game Reserve.(file photo)
Despite Tanzania's efforts to...
Wana jf kuna tetesi kuwa jana msafara wa JK uliwekewa mafuta feki mjini moshi kuna mwenye taarifa hizi atujuze, maana mimi huwa naelewa magari ya serikali yana vituo maalum vya mafuta.
WAKATI Waziri Mkuu, Mizengo Pinda anazindua mabasi ya CRDB kwa ajili ya wanafunzi amesikika akisema yeyote anayetaka kuchangia mabasi kama hayo ana uhuru wa kupaka rangi yoyote anayotaka gari...