WA MAMNDENII JF-Expert Member Joined Jun 5, 2010 Posts 344 Reaction score 58 Jun 9, 2010 #1 naomba wana JF mnijuze hasa kazi za meya wa jiji hasa la bongo naona kama yupoyupo tu au ni kuongoza vikao vya madiwani vya kugawana posho tu
naomba wana JF mnijuze hasa kazi za meya wa jiji hasa la bongo naona kama yupoyupo tu au ni kuongoza vikao vya madiwani vya kugawana posho tu
O Omumura JF-Expert Member Joined Aug 20, 2009 Posts 476 Reaction score 18 Jun 10, 2010 #2 Meya na madiwani wake wote njaa njaa tu, hakuna la maana lolote zaidi ya majungu na kugawana posho kwa kwenda mbele!
Meya na madiwani wake wote njaa njaa tu, hakuna la maana lolote zaidi ya majungu na kugawana posho kwa kwenda mbele!
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Jun 10, 2010 #3 Halafu waswahili sana......toka uhuru Dar haijawahi kuwa na meya asiye mswahili