Tutegemee nini kutoka kwa wakoloni wetu 2010/2011?

Tutegemee nini kutoka kwa wakoloni wetu 2010/2011?

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2010
Posts
2,182
Reaction score
309
Je kwa kuwa ni mwaka wa Uchaguzi wakoloni watatulegezea na kuleta mafao zaidi uraiani? Au ndo yaleyale ya kuleta Brazil, ziara zisizo na mantiki, blah blah za kumwaga?

Nasikia Mkwere alikuwa Bungeni sijui ndo kuweka mikakati ya kuwaziba midomo wale wapigania uhuru waliobaki?
 
Back
Top Bottom