BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,224
- 4,186
Mimi ni Mstaafu.
Nilikuwa nimeishapiga mahesabu ya kuona WC bure kutokana na matangazo ya TBC hadi jamaa walipogeuza kibao ghafla!
kwa sasa hivi sina Ubavu wa kununua Decorder zao.
Binafsi, sina neno sana kukosa WC ingawa roho inauma.
Tatizo langu ni hawa last two teenage Boys wangu ambao kwao mpira ni kila kitu.
Hawawezi kwenda bar kama ambavyo hawawezi kwenda kwa majirani kutokana na principles za nyumba yetu kwamba jirani ni wa kusalimiana na kuishi naye vyema tu, basi.
Nothing more nothing Less.
Ninawatizama nyuso zao na kuona huzuni ya kukosa mechi za WC nami napata huzuni.
What do I Do??