Shule ina wanafunzi 250,1 ana kiatu,wawili yeboyebo,rest miguu tupu!!!jk tunaomba msa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,144
Kwa walioona taarifa ya habari ya juzi mtasikitika kuona serikali yetu ilivyo na hela inavyoweza kuleta wabrazil kwa billion tatu huku watoto wa shule ya muheza huko tanga wakiwa na huzuni kubwa wakiombna wazazi na seikali kuwasadia kupata viatu kwa bei nafuu

hakika niliumia sana pale mtoto mmoja tu alipoonyeshwa nduie mwenye kiau kati ya 250 na huku wawili wakininginza yebo yebo zao...so sad..anyway waziri wa elimu embu wasaidieni
wale watoto miguu yao ilikuwa ikionyeshwa tbc kwa chini kama mamba ukiangalia mabaka baka yanavyorindima..ukiwa kama mzazi tunaitaji hata msaada wa maombi kwa mungu ...awasaide,,hivi wewe makamba unajitapa kabisa mtoto wako akagombee ubunge wakati watu wanakosa hata viatu jamani loh???shame on them

mh waziri husika msaada unaitajika kwa hawa watoto jamani/./nao ni binadamu
 
Back
Top Bottom