Kama tunasaidiwa kwenye hili kwanini hatuna park za mazoezi dar!! pesa inaenda wapi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama tunasaidiwa kwenye hili kwanini hatuna park za mazoezi dar!! pesa inaenda wapi!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kamundu, Jun 10, 2010.

 1. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2010
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Kwanini City ya Dar isitumie pesa ya michango ya City kufungua parks!! mji gani wa kisasa hauna parks!!


  Minister in the Prime Minister’s Office (Environment) Dr Batilda Burian yesterday said that a solid waste management control programme in Dar es Salaam city will be implemented for five years, effective this year.
  Dr Burian said the programme which is known as Tanzania Strategic Cities Programme, will be implemented from the year 2010 to 2014 under the financial support from the World Bank and the Danish International Development Agency (DANIDA).
  She was responding to a question from Special Seats MP Mkiwa Kimwanga (CUF), who asked whether the government was aware of poor solid waste management in cities, as only 50 per cent of the waste is collected.
  Dr Burian said the solid waste control management programme will also be implemented in other seven regions, namely Mwanza, Arusha, Mbeya, Mtwara, Tanga, Kigoma and Dodoma.
  She said through the solid waste collected, the government is expecting to establish electricity projects. She said that so far they are implementing one such energy project at Mtoni dump in Dar es Salaam.
  The minister added that the Mtoni project, once completed, will be able to generate 2MW to be sold to the Tanzania Electricity Supply Company (TANESCO).
  She said the government is also implementing other environmental projects such as the cleaning of surroundings of the Msimbazi valley under the National Environment Management Council (NEMC).
  She said the Environment Master Plan project currently going on in Dar es Salaam, Arusha and Mwanza will be completed this year, adding that it is funded by the government of Korea.
  Dr Burian mentioned some of the factors which hinder the control of solid waste in big cities as lack of equipment, poor supervision of environmental regulations by municipal environment officers, poor participation of people as some are reluctant to pay for the service.

  SOURCE: THE GUARDIAN


  0 Comments | Be the first to comment
   
 2. R

  Ramos JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sidhanin kama kian Buriani wanahitaji msaada wa fedha zaidi, bali msaada wa mawazo. Naamini hata wangepewa dola billion 1 leo hazitafanya kaz kwani hawana akili...
   
 3. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,575
  Likes Received: 18,491
  Trophy Points: 280
  Kamundu,
  Park gani unazoulizia wewe, pale Ilala mbele ya ofisi ya Makamba ilikuwa park, sasa ndio mtumbani. Pale Magomeni pembeni ya KKKT Mviringo kuna park mpaka sasa ipo, Mnazi Mmoja park ipo, Kidongo Chekundu napo ipo, Posta ya Zamani ile ni park na ukanda wote wa bahari mpaka Feri, Hapa viwanja vya Gymkana ni park mpka karibu na Aghakhan. Labda kama ungesema Temeke au Kinondoni, labda kidogo ningekuelewa, au unamaanisha Nationl Parks kama Serengeti, ua parking ya magari?.
   
 4. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #4
  Jun 10, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Open space zote wamezinywa, Africana mbezi beach kuna sehemu inaitwa bustani ya jiji: Hiyo sehemu wajanja, wazito na wabenzi wamegawana.

  Tatizo letu hatuna contunuity, come 2014 hakuna atakayekumbuka kuwa waziri aliwahi kujibu namna hiyo. Halafu jamani kweli tunahitaji world bank na Danida watufundishe jinsi ya kuzoa takataka na kuzimanage. Haiingii akilini hata kidogo kwa kweli.
   
Loading...