Google Tanzania angalieni hii Graphical User Interface na contents za mtandaoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Google Tanzania angalieni hii Graphical User Interface na contents za mtandaoni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Raia Fulani, Jun 9, 2010.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wala si siri hapa hivyo hamna sababu ya kuficha kitu. Watu wanahamasika kuangalia vitu ambavyo hawakupanga ila wanafanya hivyo na hatimaye kuingia vishawishini kutokana na huu utaratibu wa kila kitu kuwa hadharani mtandaoni. mfano mzuri ni huo nilioweka hapo. Jaribuni kuzuia baadhi ya vitu ambavyo kimaadili si salama kuwa hadharani tu

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Jun 9, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni issue ya kuwaambia hawa jamaa wa google.tz waka filter baadhi ya maneno kama ilivyo kwa nchi zingine. Wanaohusika ktk serikali wawajibike kwa hili na siyo kufungia magazeti tu, laiti kama hii ingeandikwa kuisema serikali ungesikia kelele nyingi za akina mkuchika.
   
 3. C

  Campana JF-Expert Member

  #3
  Jun 9, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
 4. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #4
  Jun 9, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Cha msingi hawa wachujaji wafanye kazi yao na si kusubiri hadi yatokee ya kutokea. Kama vipi warudishe mfumo wa awali ambapo hii interface haikuwepo
   
 5. Obuntu

  Obuntu JF-Expert Member

  #5
  Jun 9, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 512
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Mkuu,

  Ni suala la "Morals" - either wanaweka "filter" au la - that can not change the course ambayo jamii yetu imechukua! Something more than "a simple filter" should be done!
   
 6. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #6
  Jun 9, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapana. hii inaonyesha kwamba watanzania wako busy na mambo gani hayo ndo yanavutwa kwanza. mbona mambo kama kuimba hayaji, jkucheza, kulala. kwanini inakimbilia huko?
   
 7. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #7
  Jun 9, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  laiti ingekuwa gazeti yani mkuchika angesha lifungia zamani
   
 8. M

  Magezi JF-Expert Member

  #8
  Jun 9, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Wewe uko out dated, unasikia wenzetu ulaya wanahangaika kutengeneza software za kusaidia kuzuia watoto wasiangamie na mambo haya ya ngono. Imefikia mahali watoto wa kizungu wanaingia ktk mapenzi na watu wazima kwa sababu ya mitandao mfano facebook n.k.

  Hili jambo linahitaji watu makini na wajitahidi kweli kufanya kazi zao, angalia mgogoro wa china na google....yote hiyo ni kwa sababu lazima kulinda watoto wetu. Huwezi kusema eti tuache watu ndo wana mawazo hayo....watoto hawana cha mawazo foolish age ndo inawaangamiza.

  Mkuchuka amka......wambie google.tz washirikiane na BAKITA kuweka filter yenye maana. China imewaambia google.cn watake wasitake serikali itafilter data zao.
   
 9. M

  Magezi JF-Expert Member

  #9
  Jun 9, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Angalia google.ug (google Uganda) mbona filter inafanyakazi?? Mkuchika usikalie mambo ya CCM fanyakazi kikamilifu. Nina wasiwasi kama mkuchika anasoma au kutimia internet
  googleUG.GIF
   
 10. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #10
  Jun 9, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Hizo suggestions zinatokana na vitu watu wanavyotafuta Tanzania, so wa kulaumiwa sio Google!
   
 11. bona

  bona JF-Expert Member

  #11
  Jun 9, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  sure mkuu nimejaribu nimeona its tru, ila cjui cjawai tokewa na kitu kama icho, just out of curiosity ulikua unatafuta nini hadi ukaandika neno ku hadi upate suggestion kama izo?
   
 12. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #12
  Jun 9, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  hahahaha nimejaribu ni kweli, hii noma kweli! Hii inamaana gani? au watumiaji wengi ndo wana-search sana mambo hayo? kwakweli ukijifanya unatafuta kitu mbele ya mkwe utajuta.
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Jun 9, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  ni sawa lakini hiyo search ikisaidiwa na mfumo wa google
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Jun 9, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nilikuwa natafuta blog au forum moja ya Kenya inaitwa kumekucha. Nasikia ni maarufu, ndio nikaletewa hayo ma-option
   
 15. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #15
  Jun 9, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Hiyo mambo ya filter kwa wathungu ni tofauti kabisa. There are many racists playing with google and google still accept these bad habits.

  Ebu jaribu kuingiza neno why black..........uone upuuzi ambao google inakupa.

  Unauliza "white" lakini google inampa "black"

  [​IMG]

  YouTube - Google Racism!


  what Google can react on this:

  Google offers racist search suggestion after hack

  Google offered "Why are black people so ugly?" as a search suggestion after hackers avoided the firm's filtering process.  Published: 5:28PM GMT 22 Mar 2010

  [​IMG] Google offered 'Why are black people so ugly?' as a search suggestion after hackers circumvented the firm's filtering process Photo: GETTY IMAGES


  The question appeared when internet users typed in the word "why" and Google offered the question in full as one of its suggestions for what you may be about to write.

  The firm has extensive filters which are intended to remove offensive suggestions but hackers appear to have got around the controls and web users picked up on it.


  Warren Degallerie, 23, said: "I was helping my nine-year-old niece with her homework. Before she knew it that line had appeared. We are both black and I couldn't believe how something like that could be allowed to happen.
  "I had to try to explain to a young girl how Google could let it appear."
  He contacted The Sun newspaper which alerted Google and the glitch was fixed.
  By Monday morning the automatic suggestion had disappeared. Users typing in "why" were offered options including "why am i tired" and "why do cats purr".
  However, there remained the race-related question "why are michael jackson's kids white".
  A company spokesman said: "Google Suggest is an automated feature that aims to make searching easier by providing suggestions as you type, based on what other people have searched for previously.
  "We have filters to eliminate inappropriate suggestions, but very occasionally an offensive suggestion may slip through."
  Google has been caught in race rows before.
  Last year it at first refused to remove a link to a cartoon showing US First Lady Michelle Obama as a chimpanzee, arguing "freedom of expression".

  www.telegraph.co.uk/.../google/.../Google-offers-racist-search-suggestion-after-hack.html
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Jun 9, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahahaaa!! kama ulikuwepo vile!!
   
 17. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #17
  Jun 9, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wazungu ndio wenye access zaidi na hizo search engines. Hata hivyo kuna minyani myeupe inafanana sana na wazungu. Mweusi hajawahi kupoteza muda wake kulikuza hili. Kuna kitimoto pia. Wazungu kuna vitu wanatamani toka kwa mwafrika wanavikosa. Nao google kama wanashindwa kudhibiti hiyo hali wasiruhusu hizo options. Wamwache mtumiaji atafute kile anachokijua yeye
   
Loading...