Jamani nasikia msafara wa JK umewekewa mafuta FEKI moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani nasikia msafara wa JK umewekewa mafuta FEKI moshi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ral, Jun 9, 2010.

 1. r

  ral Senior Member

  #1
  Jun 9, 2010
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wana jf kuna tetesi kuwa jana msafara wa JK uliwekewa mafuta feki mjini moshi kuna mwenye taarifa hizi atujuze, maana mimi huwa naelewa magari ya serikali yana vituo maalum vya mafuta.
   
Loading...