Kila kitu kwa msaada wa watu wa marekani hatuchoki??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kila kitu kwa msaada wa watu wa marekani hatuchoki???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jun 10, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  Mmh
  jamani yaani mpaka basi ukisikia net,msaada wa marekani.bajeti msaada wa marekani yaani kila kitu kwa msaada wawatu wa marekani hii kitu inaisha lini mkuu wetu ??tumechoka na hao wamarekani ni binadamu wanamuda watachoka na hii kutoa misaada embu tujiangalie kidogo turudi kwenye matumizi je haya matumizi kama ya safari za nje atuwezi kusaidia kununua machandarua jamani tukapunguza hii li neno msaada wa watu wa marekani....???
   
 2. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kupokea na kuomba misaada ndio wanasiasa wetu wanachopenda.......ndio ajenda yao kuu! Hawafikirii mbadala wowote zaidi ya kupata misaada. Hata uwezo wao wa kujenga hoja haupo umeelemea kwenye misaada! Jaribu kuangalia suala la OIC kwa mfano, hoja kubwa wanasiasa watakueleza eti tutapata misaada, yaaani hawafikirii nje ya boksi la misaada!

  Tuite misaada nayo janga la kitaifa (limeharibu fikra za wanasiasa nchini kwetu)
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,772
  Trophy Points: 280
  Ooh yes
  mkuu kk
   
Loading...