Red Mercury Scam - Beware!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Red Mercury Scam - Beware!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Obhusegwe, Jun 9, 2010.

 1. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2010
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Red mercury scams were popular in 1990's after the disintegration of the soviet union. Some big shots like Saddam Hussein were the first among the victims of this scam as it was claimed that red mercury was an important component of nuclear bombs...that it could initiate fission reaction and hence enabling creation of a small nuclear bomb the size of a tennis ball!!

  Wakuu hii kitu nahisi imeingia bongo kwani kuna watu wameshaliwa zaidi ya 5m kwa kuahidiwa partnership katika biashara ya ''madini'' haya yanayodaiwa kupatikana Morogoro. Nimeona nipost hii kitu ili kama kuna mtu mwingine amesikia tusaidiane kuwaepusha watz na wizi huu kwani wengi hawana elimu ya kugundua scammers!!

  Kwa information zaidi kuhusu Red Mercury Scams gonga HAPA
   
 2. myao wa tunduru

  myao wa tunduru JF-Expert Member

  #2
  Jun 10, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 615
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 35
  asante mkuu!nilikuwa najua aina hii ya usanii ila recently watu kadhaa walikuja na more advanced way kidogo wanilize.ni vizuri kukumbushana!
   
 3. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #3
  Jun 10, 2010
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Pole. Wajanja sana, na siku hz wanatumia kila mbinu kuwaliza walalahoi!
   
Loading...