Waburundi washikwa na mbolea ya ruzuku za wakulima sumbawanga!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waburundi washikwa na mbolea ya ruzuku za wakulima sumbawanga!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BASIASI, Jan 14, 2011.

 1. BASIASI

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Jan 14, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 3,111
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Sijui niite dowansei
  sijui niseme je wapendwa..naona hizi mbolea ni dili la ajabu
  kwa waliosikia majuzi dk mwakyembe akiapokea malalamiko ya wizi wa mbolea za ruzuku na habari zinasema zaidi ya mbolea za sh million 200 zimetikitikia bila kujulikana
  sasa naona zamu ya sumbawanga

  watu wawili wakiwemo raia wa burundi wanashilikiwa na jeshi la polisi mkoani hapakwa kosa la kukutwa na mbolea za ruzuku na kutaka kuwaonga takukuru,habari zaidi zinasema watu hao wamekutwa wakianza kupakia mzigo kutoka kwenye nyumba ya mwenyekiti wa kijiji wakiwa na katibu wa kamati ya ugawaji wa mbolea za ruzuku mkoani humo..watu hao walikamatwa na mbolea aina ya urea mifuko 200 na mingine mifuko 50 aina ya mijingu ikiwa imesapakiwa mingine ikiendelea kupakiwa kwenye fuso mali ya katibu huyo...

  Watuhumiwa hao wa burundi walikiri kutaka kwenda kuuza mbolea hizo burundi na kusema awakujua kama ni za wizi wakajaribu kuwahonga takukuru sh laki 2 wasamehewe wakiwa wanajitayarisha kuhesabu mmoja wa takukuru akawaweka chini ya ulinzi tena kwa kosa la kutka kutoa rushwa kwa tkkru,

  miongoni mwa malalamiko ya wananchi walilalamika baadhi ya kamati ya pembejeo pamoja na mawakala wakidaiwa kutumia majina feki kwa kutoa vocha na pia kuwabadilishia wananchi aina ya mbolea iliyoorodheshwa kwenye vocha na hasa aina ya urea ambayo bei yake ni kubwa na kupewa minjingu

  jk
  kazi unayo wizi uliobariki dowans utakuuma na vizazi vyako na viongozi wako woote mpaka uombe toba watanzani..watanzania hii ni moja tu ya muendelezo wa matokeo ya dowans bado wizi mkubwa unafwata na bila kunyanyuka kudai haki zetu huyu rais atatuvua nguo,je uko tayari kuvuliwa nguo,binafsi hapana

  kwenu wakulima daini haki zenu kwa nguvu wakikosa hekima
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  takukuru wamekataa rushwa ila utashangaa wakubwa wao wanaenda kupokea hiyo pesa na kuwaachia hao jamaa mie nadhani hapo wanatakiwa waanze kuwajibishwa mkuu wa wilaya na wale wote wenye mamlaka ya kugawa hiyo mbolea tena na kifungo juu!
   
Loading...