Kwa nini TFDA hawatangazi dawa hatari za waganga wa kienyeji????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini TFDA hawatangazi dawa hatari za waganga wa kienyeji?????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ASKOFU MSAIDIZI, Jan 13, 2011.

 1. A

  ASKOFU MSAIDIZI JF-Expert Member

  #1
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 209
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siku hizi waganga wa kienyeji wanasajiliwa na wizara ya afya na wanapeleka dawa zao kwa mkemia mkuu. Sasa kuna dawa za kienyeji ambazo ni hatari , kama matunguri kwani yanaqua watu!!!

  Sasa kwa nini tfda hawatangazi na kupiga marufuku dawa hizi???

  Zipo dawa za kuongeza makalio , dawa za kichina, na makampuni mengine kama tiens,gnld, forever living n.k


  prof. Kapuya ni meneja wa kampuni la forever living shirika la dawa za kienyeji!!!
   
Loading...