JF imenipa Degree...thanks God

Kwani humu Jf kuna chuo?
Chuo sio lazima kiwe na madarasa na madawati. Chuo ni sehemu yeyote ambapo unajifunza mambo ambayo ulikuwa huyajui. Hakika JF ni chuo maana kuna jamaa zangu ambao baada ya kuingia jamvini kila siku wameelimika sana kuhusu Tanzania na hali yake ya kisiasa. Licha ya hayo, kuna habari nyingi zinaelezwa humu ambazo hazipatikani magazetini, nasaha n.k.
 
hebu nimshauri na makamba nae ajiunge apate elimu...............mkuu na JK nae kwanini anapenda PHD?
 
anapenda PhD kwakuwa hana!. angekuwa na masters tu ya darasani asingependa PhD ya bure hiyo kwakuwa haitofautiani na ile ya akina majimarefu!.
 
Hongera, pia nasikia mtoto akizaliwa dar tu tayari amemaliza la 7.
 
Chuo sio lazima kiwe na madarasa na madawati. Chuo ni sehemu yeyote ambapo unajifunza mambo ambayo ulikuwa huyajui. Hakika JF ni chuo maana kuna jamaa zangu ambao baada ya kuingia jamvini kila siku wameelimika sana kuhusu Tanzania na hali yake ya kisiasa. Licha ya hayo, kuna habari nyingi zinaelezwa humu ambazo hazipatikani magazetini, nasaha n.k.

ignorance level level inashuka

ni kweli maana hapa vichwa vikali umepata elimu ya Uraia na hisi utaonewa tena na police, hutapenda Udini, Siasa za Uongo, chuki za vyama , Ufisadi na uonevu, utatetea wanyonge, kuwakomboa na kuondoa uvumi na ndoto na sera mbovu kama kilimo kwanza, badala ya elimu kwanza, Kasi zaidi ya upandaji vitu holela na ari zaidi ya kuzidisha mafisadi kila kona, asante sana kwa hiyo PHD
 
Hongera saana Mkuu
Inatia moyo natamani na MALARIA SUGU angeji enroll hapa angekuwa mbioni kumalizia degree yake
 
Back
Top Bottom