mbongopopo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2008
- 1,611
- 765
naomba kujua bei za jenereta na pia niangalie nini wakati wa kununua? kuna zisizopiga kelele?
Pia maduka gani wapo bei nzuri dar, kama kuna mji mwingine wanauza niambie pia.
na utajuaje inatosheleza nyumba yako na nani anai connect
shukurani.