Yalioshangaza Manesi Muhimbili leo Kuhusu Bosi wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yalioshangaza Manesi Muhimbili leo Kuhusu Bosi wangu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NGULI, Jan 11, 2011.

 1. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wandugu habari zenyu bana,

  Leo asubuhi tume report kazini kama kawaida, tukiwa tunaanza kazi tulisikia kishindo kwenye ngazi, tukakimbia kuangalia ni nini hicho kwa vile jengo letu ni lizee isikute linaporomoka.

  Tulimkuta boss wetu chini kaanguka tukampakia kwenye gari kumkimbiza Muhimbili kwa vile alikuwa amezimia. Tukiwa njiani aliaamka na kuanza kung'ang'ania kiuno chake kwa nguvu tulijua basi atakuwa ameumia sana. Tulijitahidi kumwarakisha hopsitalini kumpunguzia maumivu tulivyofika reception katu alikataa kushuka kwenye gari wahudumu wakambeba juuu juu, bado akawa ananyonga kiuno. Basi manesi wakaanza kumfungua haraka kucheki kama kuna injury bado akakataa na kulia kwa sauti kubwa kwenye bible wangesema kuu.

  Ikabidi wamchome sindano ya usingizi kwa kumlazimisha alivyolala wakamcheki wakamkuta ana hirizi mbili nyeusi kubwa upande wa kulia na kushoto. Tulimshangaa sana kwa sababu ni msomi mzuri ana masters ya finance na ACCA as an added advantage to this organization.

  Kwa sasa amelazwa kwa uchunguzi zaidi ila wa awali unaonyesha mapigo ya moyo yako juu sana.
   
 2. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hii noma huyo ni mmoja wao mfano tosha hiyo ndiyo iliyomuweka hapo juu
   
 3. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  Kumbe yule mwenye duka unalofanya kazi ni mshirikina?
  kwanini umeamua kuja kumsema hapa kwenye halaiki?
  Au ndio njia yako ya kudai nyongeza ya mshahara?
   
 4. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani ndio dini zetu waafrica!
   
 5. Kahema

  Kahema JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: May 21, 2010
  Messages: 202
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  zitakua shanga sio hirizi. nesi kanambia.
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Ni imani tu sidhani mkuu kama alikuwa educationless angepata kazi?

  Sio kumsema kutoa fundisho na wewe pia uwache kuvaa hirizi sio nzuri

  Ila zimepitwa na wakati

  Naona unapenda kweli shanga, sio shanga hirizi ya square
   
 7. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kumbe ndo mambo hayo,ngoja nikatafute hizo manake haya mambo ya kutopanda vyeo na madegree mawili kutakuwa kuna mkono wa mtu..........kumbe degree si issue??ila ni kweli bwana hata mimi ofisi nilikyokuwa nafanya kazi hapo nyuma bosi alikuwa akiwaleta wazee wetu wa bagamoyo kuja kuweka ulinzi na kumwambia nani adui yake pale ofisini.....its there!
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hivi huwa wanaenda msikitini/kanisani na hivyo vidude vyao jamani.
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Duuuu hiii kazi sasa kinachomuuma nikuwa amekutana na kubwa zaidi eeeeh!
  Raha iko wapi sasa tunapowaambia yesu ni shuruhisho mnagoma!
   
 10. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  :smile-big::smile-big: Trust in God .......achana na hayo mumeo akikukuta nayo talaka utasema nayo

  Kuna baadhi ya maeneo ya kuabudu huwezi kuingia navyo utadondoka chini

  Big point bro.
   
 11. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  kekundu kekundu....... kekundu kekundu........ ha ha ha .....
   
 12. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mawakala wa shetani kwenye biashara, utawala wa nchi, majumbani, mwaka huu wataumbuka kusiko kawaida. Ni mwaka wa aibu ya kukata na shoka kwa mawakala wote wa shetani nchini Tanzania.
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,069
  Likes Received: 5,553
  Trophy Points: 280
  Bwana Nguli Polen sana
  Labda halii hii tungemgeuza kikwete alipoanguka Jangwani akika asingetofautiana nae.hayo madudu ndio yanayowapeleka hapo walipo..labda kwa kifupi ukiwa kazini jitahdi kusimama na Mungu sana wengi wanaocheka na wewe wako na charms..hiyo cha mtoto boss wangu mmoja ofisi nilioacha kazi yeye alikuwa zake anaweka katikati ya sehemu za siri unaweza ona mateso gan ..huyu baada ya mwaka sijui kama ana bikira tena


  ni msomi mzuri ana masters ya finance na ACCA as an added advantage to this organization.

  ukimchunguza vizuri anaweza kuwa na PHD as added advantage
  ya hayo madude..akipona muulizen vizuri rmbu nipe wd niko muhimbili hapa nikayalipue natangaza damu ay yesu wd nzima yakilipuka atakupa historia alipoyachukua...ntajie wd tu namba siitaji mi napita kutangaza moto wa YESU ndani joto lake atakuadithia


   
 14. K

  Kifimbocheza JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 7, 2008
  Messages: 496
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 45
  Jamani

  Mbona Chenge alikutwa ndani ya Ukumbi wa Bunge akimwaga UPUPU Usiku


  Watu wamezidi Ushirikina Japo wamesoma a.k.a ni Wasomi
   
 15. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Dah, huku makazini kuna mambo no wonder vijana kama nguli hawapandi cheo (shemejiiiiiiiiiiiiii) kumbe watu wana hirizi zinazopumua lol.
   
 16. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nina Yesu...I don't need hirizi or anything

   
 17. Darlingtone

  Darlingtone JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 393
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanabeba mizigo ya dhambi inayowazidi uzito
   
 18. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  To handle such witch craft trophies, you need first to undergo certain evil procedures. Among of those procedures include killing Albino, sleeping with your daughter or mother or sodomize infants. As you violate these conditions means selling your life openly to people who gave you the trophies. Angeuliza kwanza.
   
 19. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  aiseee, yani mtu hajiamini ye mwenyewe mpaka nguvu za ziada.
  ukute hata mkewe hajui,huwa anaivaa kwenda kazini tu.
   
 20. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hiyo ni safi sana,

  Natamani wote wanaobebana na huo upuuzi wangeumbuka kama huyo Boss wa Nguli.

  Ngoja alipe mshahara wa dhambi zake hapa hapa duniani kwani inawezekana hizo hirizi zilishapangua watu kibao. Leo ni zamu yake!
   
Loading...