Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimefungua inbox yangu nikakuta emails hizi nikacheka sana, maana kwa harakaharaka kama una tamaa kweli wanaweza kukuingiza mjini hawa jamaa, maana kama hawapati watu wangeshaacha. actually this...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za jioni wana JF Ninaomba ushauri wenu wapendwa, nina shughuli hivi karibuni na ninatafuta a THANK YOU FOR COMING GIFT amabyo its not so costy but unique. Natanguliza shikurani zangu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mtoto wa Kichina mwenye umri wa miaka minane akionyesha wazi hofu iliyotanda uso wake, alisimama pembeni ya barabara akiwa amefungwa minyororo na baba yake ambaye alikuwa akijaribu kumuuza mtoto...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kabla sijaizoea JF mpya niliona kama taabu vile kuitumia lakini kwa sasa nimeona jinsi ilivyo nzuri kuliko ile ya mwanzo. Kwa sasa kuweka picha, ku-attach file n.k. ni rahisi na pia mwonekano wake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WENYE KISWAHILI SANIFU FUNGUA HAPA AFU TOA JIBU! http://2.bp.blogspot.com/_oEwMHFlnAzM/S6NE_XyTBEI/AAAAAAAABN0/3-gZeRDAxe4/s1600/Katuni%2BMarch%2B16.jpg
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wajumbe leo naomba niulize jambo nipate hekima zenu, Miaka ya nyuma wakati wa utawala wa Mwalimu Nyerere jambo hili lilikuwa linawezekana, wanafunzi walilipiwa ada, walipewa fedha za matumizi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Two days ago (25/05/2010) was the day of Africa. For those who are friends of Africa; will feel the amazement after watching this video. I have had a look on the video, and I like it. Click on...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye nao aturushie nasi tuusome tafazali
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Napenda kutoa taarifa za kusikitisha za kuondokewa na mwanachama,kada na kiongozi wa CCM kata ya mgwashi jimbo la bumbuli,Mama Krista Sheshe, aliyekuwa katibu wa CCM kata ya mghwashi, wilaya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
kutokana na kuporomoka kwa hela yetu ya madafu dhidi ya dola, bei za petroli na dizeli zimepanda hadi kufikia tsh 2000 kwa bukoba na tsh 1749 kwa dar kwa lita.hivi hali hii mpaka lini wajameni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wavuvi wa samaki katika Soko la Magogoni, Dar es Salaam wakiuza kitoweo hicho kwa wachuuzi baada ya kurejea kutoka kuvua. Kwa sasa samaki wadogo ndio wanaopatikana kwa wingi sokoni hapo. (Picha na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Msajili wa hazina Mr godfrey msella amsema jana ATCL IMESHINDWA KUZALISHA HIVYO NJIA MUAFAKA NI KULIVUNJA NA KUUNDWA UPYA KAMA NIC.. MSELA ALITOA MAPENDEKSO HAYO KTKT KIKAO CHA KAMATI YA FEDHA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
.Walevi si watu kabisa wa kukabidhiwa madaraka popote kuanzia ngazi ya kaya mpaka ya kitaifa. .Kila eneo ambalo kiongozi wake ni mlevi basi halina uwajibikaji na huwa limejaa malalamiko. .Mafisadi...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Wana JF habari. Jamani nipo katika harakati za kusaka Post grad au Masters katika fani za Procurement and logistics. Kwa taarifa fupi nilizonazo ni kwamba kipo chuo kimoja maeneo ya Chanika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nahisi kuna mchawi anamroga raisi wetu. Kuanzia ameingia madarakani mauzauza yamekuwa yakimuandama kuliko raisi mwingine yeyoyote aliyemtangulia. Mara rais wetu aanguke jukwaani, mara watu wamvae...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mtaani kuna uvumi kuwa festi ledi ana kibendi, waungwana wenye macho yenu ya utambuzi mnaliongeleaje hili?
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Shija Felician, Kahama BUNDI mbaya wa tatizo la kudanganya umri sasa ameng'ang'ania kwenye tawi la vijana ndani ya CCM baada ya mwenyekiti wa jumuiya hiyo wilayani Kahama kutakiwa ajiuzulu kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Yesu sasa akawaagiza wale watu kumi na mbili ambao walikuwa wamesikiliza azimio lake kuhusu ufalme kupiga magoti kumzunguka. Akaweka mikono yake juu ya kichwa cha kila mtume,kuanzia Judas Iscariot...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Translated by Sherpa Tulku, Khamlung Tulku, Alexander Berzin and Jonathan Landaw, 1973, © LTWA, Dharamsala. This is essentially the translation that was used when His Holiness the Dalai Lama gave...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
A group of young University of Dar-es-laam students have a developed an application that is yet to take the world by storm.The application which is run a by a web portal can search and help...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom