TBC 1 Matuko Yaliyotokea Arusha Mlichotuonyesha Kwenye TV Niuongo Mtupu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TBC 1 Matuko Yaliyotokea Arusha Mlichotuonyesha Kwenye TV Niuongo Mtupu!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Jan 17, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Siku ya jumapili ya tarehe 16 January kwenye kipindi chenu cha matukio yaliyojiri Arusha kati ya wanaharakati wa Chama cha Chadema na polisi kwenye kipindi chenu kwenye TV ya TBC 1 ni uchakachuaji mtupu! kwa mtu yeyote aliyenaakili kilichotokea Arusha ulikua ni uvunjaji wa haki za binadamu kwa polisi kuwapiga raia wasiokua na hatia, watu walishaapewa kibali cha kufanya mkutano na kuandamana bali polisi walitumia nguvu na ubabe kuwatawanya wafuasi wa Chadema kwa kuwapiga mabomu na kutumia risasi za moto pamoja na maji ya kuwasha, lakini katika kile kipindi kilichorushwa na TBC 1 sehemu kubwa ya matukio yote ilionyeshwa kua wafuasi wa Chadema ndio waliokua chanzo cha fujo hakuna sehemu niliona polisi wakiwa wanawapiga wafuasi wale kwa virungu nasema huu pia ulikua ni uchakachuaji kabisa kwakifupi mkanda ule waliufanyia EDITING na kuweka sehemu ya fujo kua ni Chadema tu ndio waliokua wanafanya fujo dhidi ya polisi. Nasema kuwa YOU CAN FULL PEOPLE SOMETIME! BUT YOU CAN NOT FULL PEOPLE ALL THE TIME!
   
 2. r

  roby m Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  tunawajua Tbc toka enzi za kampeni sio wakweli ina maana hawajui jukumu la vyombo vya habari ktika jamii au ndo uccm umewakaa cjui!!
   
 3. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Heshima mbele mkuu,
  Hapo kwenye bold unamaanisha nini?
   
 4. G

  GAMA LUGENDO Senior Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  "CAN FULL PEOPLE SOMETIME! BUT YOU CAN NOT FULL PEOPLE ALL THE TIME," JK NYERERE 1972.
  TBC1 mnapoteza muda, mnakwenda out of professionalism, hamjawa objective kuondoa baadhi ma scenes (omission) ili mtoe message ya kuwapotosha watu ni wendawazimu.Watanzania wengi wanajua ukweli kuhusu incident ya Arusha, it is the police forces waliochemsha kwa kuwashambulia na kuua watu waliokuwa wanaandamana kwa amani na tena bila silaha yoyote.TBC1 shughulikieni kuboresha zaidi vipindi vyenu na kufanya matangazo yenu yaweze kuonekana nchi nzima, na siyo kujihusisha na propaganda za kijinga.Isitoshe Tido Mhando ameshaondoka ambaye ndiyo aliifufua then then Radio Tz ambayo ilikuwa inaelekea kufa. So msipoangalia mtapuuzwa na watanzania ambao wa sasa wanahitaji facts na siyo rongo rongo.
   
 5. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  but mtu akivaa magwanda ya polisi hatakiwi kujihami hasa pale uhai wake unapokuwa hatarini?
   
 6. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  TBC huo ni upuuuzi . Mbona kila kitu kilishaonekana? Hapa mnawajiliwaza wenyewe . We know everything and for sure your adultered videos wont change a thing
   
 7. doup

  doup JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 1,172
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180

  ujihami iwaje simekubali kazi ya kufa, wajibu wako kufa

  TBC kwa kweli wanasikitisha sana, Sijui kama TIDO bado yupo pale , isijekuwa wamebaki wazadiki tu pale
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  mkuu niliiona ile ilichakachuliwa sana hata kwa akili ya kawaida si ya kweli na haikuwa kwenye maadili ya uandishi kwani msemaji alionekana kabisaa anaikandamiza chadema, ccm wanajimaliza wenyewe na kwangu mimi niliona ni upuuuzi tu! Tatizo hakuna watu makini ccm kabisaaaa bure!
   
 9. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa burudani nzuri kwa watoto wetu kama vile wanvyoangalia kipindi cha ITV cha 24
   
 10. n

  nyantella JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
   
 11. c

  crown Member

  #11
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Infact mimi huwaga sipotezi muda kuwaangalia TBC especially habari zao.Sidhani kama kuna mtu yoyote huwa anapoteza muda kuangalia habari TBC.
   
 12. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180

  wakachukuwe mkanda channel ten!!!!!
   
 13. Ng'azagala

  Ng'azagala JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 7, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  hicho kipengele hapo sijaelewa

  au unamaanisha unaweza kuwashibisha watu mara mojamoja ni si wakati wote? hahahahahahahha
  ila sasa haifanani na kichwa cha habari hahahahha
   
 14. K

  Kisaa kyafo Member

  #14
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  .nasema wafuasi wa chadema mlistail kupewa kichapo kikali kuliko icho mlichopewa, ihi nchi inaongozwa kwa sheria na kamwe hawatawaacha kama amtafuata utaratibu.
   
 15. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,041
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  TBC didi the best to show us what happened.....wametuonyesha jisi raia walivyovaamia na kuanzisha fujo isiyostahili....PONGEZI TBC.......KEEP IT UP
   
 16. n

  nguluvisonzo JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  peoples power
   
 17. babayah67

  babayah67 JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 28, 2008
  Messages: 493
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Baada ya kuona Mkanda uliochakachuliwa a.k.a editted wa TBC1 juu ya tukio la Arusha, ambao unaonesha habari ya upande mmoja tu kuwa Chadema ndio walioanzisha fujo, Mi nafikiri sasa ni wakati muafaka kwa Chadema kutuonyesha the other side of the story to balance the news. Kuna matukio kama polisi kuvamia kambi za watawa na kuwapiga watu waliokimbilia humo na kuwaumiza na kuwatelekeza bila msaada wowote. Je kuna yeyote aliyeweza kuyanasa matukio kama hayo atupatie??? Kama hakuna basi hili linatakiwa kuwa ni funzo kwa Chadema na vyama vingine vya upinzani kuwa wanapokuwa na matukio kama haya wajiandae kuwa na waandishi wa habari wa kurekodi matukio haya wakiwa undercover, ni muhimu saana ili kujibu matukio kama haya ya TBC1
   
 18. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kaka hiyo ni documentary ambayo imesambazwa kwenye vituo vyote vya TV, so sio ishu ya TBC kabisa
   
 19. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  MABADILIKO YA KASI TANGU TBC MHANDO (HESIMA) HADI SASA TBC UJIMA (CCM PROPAGANDA)

  Ndallo na wana jf wengine, kuhusu TBC1 na uchakchuaji wa habari kamili kule Arusha wal isiwape shida.

  Tayari wasamaria wema wa jiji hilo wemeshafikisha mkanda mkali zaidi isiyofanyiwa mashahihisho kwa vyombo vya haki za binadamu vya kimataifa. Hata hivyo kwa kiwango hiki cha TBC kuanza kuporomoka maadili ya kazi yake kwa kueneza uongo na propaganda za chama kimoja hivi safari hii iko salama?? TBC baada miezi 36 tangu kuondoka kwa gwiji wa habari Tido Mhando itakua inafananaje?

  Nako pia, kutokana na tukio la Arusha na aina ya habari inayotolewa na TBC1 tangu kuondolewa kwa Tido Mhando tayari wananchi tumepata jibu kwamba kumbe juhudi zote kumuondoa huyu mtaalam ilikua ni kupisha TBC chombo cha taifa chenye heshima nyingi huko nyuma kujigeuza kuwa TBC-CCM Propaganda.

  Njia ya kuipeleka hii TV kwenda kwenye utendaji wa ki-ujima ujima ndio huo umeanza.
   
Loading...