Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Rais Kikwete awaweka njia panda maaskofu, masheikh Send to a friend Monday, 21 June 2010 08:53 Kiongozi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Alex Malasusa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nina get together ningefurahi kama nitapata wanajamii tukafahamiana!itafanyika Dar siku ya tarehe 23/01/2011 naomba PM zenu kama mtashiriki majibu kwa wale ambao hawatafika.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hivi nundu ya Dr Dr Dr (Fitna, Majungu, Unazi) Makamba usoni inatokana na nini? anayejua jamani maana kama zile kuna mtu alimpachika kipepsi akatoboa paji! Niambieni wajameni mie nataka...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mwili wa marehemu Paul Njuguna Kaiyehe (26), raia wa Kenya ambaye aliuawa na polisi kwa risasi wakati wa maandamano ya wafuasi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha Januari...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Polisi na usalama wamekuwa wakiwasumbua majeruhi waliolazwa katika hospitali mbalimbali,habari kutoka ndani ya jeshi hilo zinadai baadhi ya majeruhi wanaelewa vema tukio zima la tarehe 5,hivyo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
POLISI wanatuhumiwa kumtelekeza mtoto Juma Hamza (12) waliyempiga risasi na hivi sasa hali ya mtoto huyo ni mbaya kiasi cha kumlazimu kutolea haja kubwa katika kidonda kilichotokana na jeraha la...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Rais gani? Nchi inateketea. Amejikunyata tu kama kuku wa mdondo? Kikwete unaniudhi. Kweli sikukupigia kura lakini ninaamii hata waliokupa kura wanajuta kimyakimya. Rais gani unasubiri watu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkuu wa wilaya nnape nauye amekamata bus la buffalo lenye nyara za serikali meno ya ndovu likitoka Tunduru kwenda Dar es salaam!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu wanajf nikitathimini kazi ya nguvu ya umma ikishirikiana na media zetu (mwanahalisi, raia mwema, mwananchi, majira, taifa letu, kulikoni, guardian on sunday, itv, star tv, mlimani tv na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dr Conrad Murray Jaji amemwamuru daktari binafsi wa Michael Jackson ashtakiwe kwa kuua bila kukusudia. Jaji Michael Pastor alitoa uamuzi huo dhidi ya Dr Conard Murray katika kesi ya awali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakati waungwana tukiwa kando kuangalia kina cha maji ghafla yanaibuka mambo mazito ambayo watawala wetu wamekaa kimya kiasi wananchi tunaanza kuongozwa na utashi binafsi na ndiyo kiini hasa cha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kikwete alisema anataka akumbukwe, amesema hayo katika nafasi mbalimbali nchini, na kweli sasa ametimiza lengo lake la kutaka akumbukwe. - Mauaji ya Arusha - Kuwanadi vinara wa ufisadi majukwani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanaume watano waliopatikana na hatia ya kukamatwa na madawa ya kulevya nchini Iran, wameuliwa kwa kunyongwa. Wanaume hao ambao majina yao wala nchi wanazotoka hazikutajwa, walinyongwa jana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakati Jeshi la Polisi Makao Makuu nchini ikitoa taarifa ya kutetea hatua iliyochukua kuua waandamanaji, serikali imetoa ubani wa kiasi cha shilingi 10 millioni kwa familia mbili zilifiwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati Jeshi la Polisi Makao Makuu nchini ikitoa taarifa ya kutetea hatua iliyochukua kuua waandamanaji, serikali imetoa ubani wa kiasi cha shilingi 10 millioni kwa familia mbili zilifiwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
likuwa 2009 nilipokuwa nyumbani Songea Ruvuma. Nilikuwa nimeenda kusuka kwa waMasai, sehemu ya kusukia ilikuwa nje tu. Tena barabarani kabisa au nisema kando ya barabara. Watu wakawa wanapita...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hata kama baadhi yetu tutakataa kukubali ukweli ni wazi Jk ni rais wa kwanza katika historia ya nchi hii kuchukiwa na wananchi. Kwa upande mwingine hata yeye anaonekana hawapendi Watanzania. Ni...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Kukiwa na malalamiko kuwa uteuzi wa Jaji Mkuu Othman Chande haukuzingatia taratibu na heshima za mahakama yaani uhodari wa Jaji na seniority, huku pia kukiwa na madai kuwa uteuzi huo ulishinikizwa...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Wanajf naomba mnisaidie labda mimi sikuelewa vizuri nilipomsikia camissiona chagoja akiongea kwa niaba ya polisi alipoongea na waandishi wa habari tarehe 13 jan 2011. Alisema 1. Polisi inalinda...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom