Malipo ya dowans: Wapi lowassa,rostamu na jk

Malipo ya dowans: Wapi lowassa,rostamu na jk

Nyauba

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Posts
1,098
Reaction score
110
Baada ya mahakama ya usuluhishi wa biashara ya kimataifa kuipa ushindi kampuni ya Dowans dhidhi ya TANESCO katika shauri lao la madai na kuamuru malipo ya zaidi ya bilioni 100 (94bn za ngeleja na zile hamsini ambazo hawazisemi) kumekuwa na kilio kikuu kutoka makundi mbali mbali kuzuia malipo hayo.

Waziri Sitta na Mwakyembe wameonyesha msimamo wa kukataa malipo hayo kama wajumbe ndani ya serikali. Pia makundi ya kijamii, wanataalumaa na viongozi wa dini na wastaafu wameweka wazi misimamo yao wengi wakitaka suala la malipo lisitishwee.

Je Lowassa na Rostamu pamoja na JK wako upande upi tukichukulia kwamba suala la Richmond/Dowans ndilo liliopelekea kuanguka kisiasa zaidii kuliko kipindi chochote kwa EL,RA NA JK!!!!!

Hii timu iko upande upi na kwa nn mpaka sasa wako kimyaa zaidi ya kutumia wajumbe wengine kuwakilisha mawazo yao?????
 
Wqao ROSTAM AZIZ, EDWARDS LOWASSA, JAKAYA MRISHO KIKWETE na MZEE WA VICENT CHENGE ni wamiriki wa DOWANS.
SAS ulitaka wayakatae malipo ili waambulie Nunge?
Kuna jamaa hapa NW USA kaniambia 2012 ni Year of High awareness World wide nadhani yuko right.
 
Tz inakoelekea ni kubaya Sitta na Mwakyembe komaeni bse huu ni wizi mwingine
 
lowasa,rostam,kikwete ni watu wa ishu za maana sio hizi ndogondogo eti za richmond...lowasa kakemea vurugu arusha ila dowans haijui kabisa ...so..no comment
 
Haya tunajua hao kina EL,RA na JK ndio wanahusika na Dowans,Sasa huyo Mwakyembe na Sita kweli hawa watu waaminifu?Au njaa ndio inawasumbua na kutudanganya sisi wanyonge.Sitta na Mwakyembe wachunguzwe nao mali yao.Walipata wapi hayo majumba na magari wanayoendesha pamoja na Familia zao?? Manake tufanye haki.Hawa wana siasa wote mijizi :Cry:
 
Back
Top Bottom