Sipati picha vurugu za arusha

Sipati picha vurugu za arusha

drphone

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2009
Posts
3,542
Reaction score
295
Wakuu jana nilikuwa na marafiki zangu wakurya ktk story 2kaongelea vurugu za a town yani nilichoka wananimbia kwanza isingeisha cku 1 nakwakuwa polic waliua bac ungekuwa ugomvi wakudumu kila wakiona polic ni kuua tu yani walinisimulia kila nikipiga picha nabaki mdomo waz we achani jamani
 
Kwani arusha polisi walishinda? Au ni wananchi waliamua tu kuacha vurugu kwa kuwa walienda kuandamana na siyo kupigana na hawakujiandaa kwa vita na kama wangefanya vita polisi wakimbia na kupotelea mbali na kuachia jeshi kutuliza vurugu
 
Naunga mkono hoja yako mkulu DERIMTO!
 
Hivi jk haoini kuzuia haya au KALOGWA JAMANI!
 
Wakuu jana nilikuwa na marafiki zangu wakurya ktk story 2kaongelea vurugu za a town yani nilichoka wananimbia kwanza isingeisha cku 1 nakwakuwa polic waliua bac ungekuwa ugomvi wakudumu kila wakiona polic ni kuua tu yani walinisimulia kila nikipiga picha nabaki mdomo waz we achani jamani
Bro, hauko specific sana katika maelezo yako!
Mi nimekuelewa kuwa hii fujo ya Polisi ingetokea sehemu kama Mara, basi ngekuwa mbaya sana, maana ingekuwa ya kudumu...right?
 
Kwani arusha polisi walishinda? Au ni wananchi waliamua tu kuacha vurugu kwa kuwa walienda kuandamana na siyo kupigana na hawakujiandaa kwa vita na kama wangefanya vita polisi wakimbia na kupotelea mbali na kuachia jeshi kutuliza vurugu

awakushinda ila kamchezo kale wangefanya mara pangekuwa hapatoshi
 
Bro, hauko specific sana katika maelezo yako!
Mi nimekuelewa kuwa hii fujo ya Polisi ingetokea sehemu kama Mara, basi ngekuwa mbaya sana, maana ingekuwa ya kudumu...right?

upo sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom