bilali anayajua matumizi mabaya ya serikali au anatania?????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bilali anayajua matumizi mabaya ya serikali au anatania??????

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by AMARIDONG, Jan 17, 2011.

 1. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, amesema tatizo la matumizi mabaya ya fedha za halmashauri limechangia kudhoofisha utoaji wa huduma na kupunguza kasi ya maendeleo nchini.
  Kauli hiyo aliitoa juzi katika ufunguzi wa Mkutano mkuu maalum wa uchaguzi wa viongozi wa jumuiya ya tawala za mitaa, (ALAT) uliofanyika kwenye ukumbi wa St.Gasper mjini hapa.
  Alisema uzoefu umeonyesha kuwa pale ambapo madiwani katika halmashauri wanashindwa kusimamia kwa makini matumizi ya fedha na rasilimali nyingine shughuli za maendeleo hudorora.
  Alisisitiza kuwa uwajibikaji katika kusimamia rasilimali hizo ndio msingi wa kuleta ufanisi katika utoaji huduma kwa wananchi na uharakishaji maendeleo katika jamii.
  Hata hivyo, alisema hatua za kisheria hazina budi kuchukuliwa kwa watumishi wanaokwenda kinyume na taratibu na sheria kuhusu matumizi mabaya ya madaraka yao.
  Akizungumzia suala la udhaifu katika ukusanyaji wa mapato, alisema tatizo hilo limeonekana kuwa sugu katika halmashauri nyingi nchini.
   
 2. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  huo uzoefu wa serikali za mitaa bilali kautoa wapi?
   
 3. L

  Leornado JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,534
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Dah heading yako imenishtua nikajua ni Bilal Mashauzi Seduction, tangu lini kaanza kuwa politician? Semeni Dr Bilal Gharib...
   
 4. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Avatar yako inafanya kazi ya ziada! nadhani hilo unalitambua.
   
 5. G

  GAMA LUGENDO Senior Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dr Bilali anapaswa kutueleza nini serikali inafanya kudhibiti wizi huo wa kipuuzi na siyo kutueleza kwamba kuna ubadhirifu, wote tunajua hilo, na hata report ya CAG huwa inaonyesha ubadhirifu huo kila mwaka, na taarifa zinawekwa wazi kwenye vyombo nya habari.We need solutions, and not just narrating causes and manifestations of the problems.
   
Loading...