Msaada kuhusu mifuko ya pensheni. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu mifuko ya pensheni.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jackbauer, Jan 17, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Jamani naomba wenye uzoefu na hii mifuko ya pensheni hasa PPF,NSSF na LAPF atueleze au afanye analytical comparison kati ya hii mifuko.imekua ni kawaida sana kwa wale wanaoajiriwa kwa mara ya kwa nza wanaletewa reg .form bila maelezo ya kina ya mifuko husika.

  1.je ni lazima mtu kujiunga na mfuko wowote?
  2.je mfuko husika unaweza kumkopesha muajiriwa wakati yuko kazini?
  3.urahisi wa kudai mafao ukoje?
  4.mfuko unahusisha maeneo gani-afya,elimu n.k

  tusaidiane wanajf.
   
 2. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Niionavyo mimi hii ni mifuko ya kinyonyaji sana!
   
 3. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kila aliyejiunga wengi naona wanalalamika pesa zangu kunilipa shida usumbufu kwa kwenda mbele
   
Loading...