waswahili nini english facebook kama... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

waswahili nini english facebook kama...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mbongopopo, Jan 17, 2011.

 1. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hivi mie nimechoka jamani kusoma jinsi watu wanavyoandika english vibaya tena sio fb tu. wanaumiza na vichwa maana mara nyingi inabidi ujipige kichwa wengi hata madakika mengi kuweza jua walitaka kusema nini. Kwani kiswahili kinatatizo gani najua wengine watasema wana marafiki walugha hiyo tu etc ila google translate ipo

  sasa leo nimekutana na mifano hii ya wa watu wanaishi nchi zinazoongea english yaani ulaya miaka mingi

  MIE NAJUA HATA SWAHILI TUNAKOSEA ILA HII SASA INAKUWA KARIBU KILA SIKU UNAKUTANA NA HAYA

  TABU NI KWAMBA WENGI WANASHINDA KUONGEA KISWAHILI...HATA WA TANZANIA AMBAO WANAKIJUA HAWAJAWAHI SAFIRI WANAONGEA KIINGEREZA KIZURI FASAHA

  WENGINE KUONDOA HERUFI MOJA AU MBILI KAMA VILE WANATUMA TEXT MESSAGE (SMS)nao hawa mmmmhhh sisomi sentensi zao tena

  USHAURI KUNA MFANO GOOGLE na search engine zingine

  weka neno angalia maana yake, au nenda kwa word document etc
  inasaidia usijisikie aibu as ndio inarudisha nyuma mtu

  kunakukosea herufi kwenye kudonoa ila mmmhh hii ni kutojua sentensi/neno inaandikajwe na kuboronga

  n.b hata humu mpo
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We nawe...kuongea lugha usiyoijua ni njia moja ya kujifunza!!Tatizo letu waswahili kila kitu tunataka kujifanya wajuaji!Binafsi sijawahi kushuhudia wazungu wakimsema mtu mwingine anaongea broken english au lugha yao yoyote ile!Wanamuincourage mtu aendelee kuongea ili azidi kujifunza!So we ukimuona mwenzako anaboronga msaidie kama unaweza kama hutaki chapa mwendo achana na habari ya 'hajui ila anang'ang'ana kama anajua.'!Kama wewe umefanikiwa kujua na yeye yuko kwenye harakati hizo!
   
 3. m

  mbongopopo JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 24, 2008
  Messages: 1,112
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  we nawe nini umeabiwa wapi wazungu wanamchunia mtu si awakujui na awaonani nawe kila wakati kukuambia ukwelii acha uongo hapo as hata wao wanakosoana. ungeelewa nilichoandika ungegundua ni sio mambo ya kukosoana ila ni kujielimisha ndio inakuwa haifanyiki. wapi umeona nimeandika kung'ang'ania????????????????????????????????? i guess huu ndio mfano jifunzeni kuelewa kabla ya kujibu yalioandikwa
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kichwa cha habari yako tu kinajieleza!!!
   
 5. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  mambo ya facebook ungepeleka hukohuko facebook.......................
   
 6. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,503
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  mbona unakuwa muoga point unaiweka mwishoni?
   
Loading...