WANAUME wa kisiwa cha Goziba wilayani Muleba mkoani Kagera ambao hawajatahiriwa wametakiwa kujiandaa kushiriki uzinduzi wa tohara kwa wanaume Januari 22.
Taarifa iliyotolewa jana na Ubalozi wa...
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro imemhukumu kwenda jela mwaka mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), wilaya ya Morogoro Mjini , Charles Matambo...
By admin
January 20, 2011Posted in:
Habari Mchanganyiko
Na Salehe Mohamed
MSHAURI wa jopo la masheikh na wanazuoni wa Kiislamu Tanzania, Iddi Simba, amesema nchi ipo hatarini kwa sababu amani...
Nilisoma moja ya makala ya Mwanahalisi ya jana, mbasha asenga alijaribu kutetea sana dk slaa kuhusu hizi tuhuma za udini. hata mimi napingana na mtazamo wa wengi kama dk slaa ni mdini licha ya...
Vigogo wamega maeneo ya vijiji Pwani Thursday, 20 January 2011 20:55
Julieth Ngarabali, Pwani
Mwananchi
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Anna Tibaijuka sasa atalazimika...
By Dr Michael Mosley BBC Four's The Brain: A Secret History
Imagine being attacked by one of your own hands, which repeatedly tries to slap and punch you. Or you go...
UVCCM leo wameonyesha ukomavu wa hali ya juu na kuguswa na maslahi ya taifa baada ya kutoa matamko kadhaa likiwemo la kuitaka serikali kuwataja hadharani wamiliki wa Richmond ili wabebe mzigo wa...
Nimeamua kuandika hivi kwa hisia zangu kutokana na mambo yanayoendelea hapa nchini, haswa kuhusiana na swala la Dowans. Ukimya wake ni moja ya jambo lililonipelekea kuwa na hisia hizi. Pia nina...
Ukombozi wa nchi upo mikononi mwetu.
Mimi nimedhamiria na kila wiki lazima nimtumie mzee wangu magazeti ya mwanahalisi na raia mwema na mwananchi ili ajue nchi inavyo endeshwa na kisha tunapiga...
Wadau wana JF,
Habari za majukumu. Naomba mwenye list nzima na anwani ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano kwa 2011 anisaidie. Nina shida nazo sana.
Asante
Ndugu katika JF,
Mimi kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mara kwa mara kama vile airtel tigo, etc.
Naomba michango yeno wana JF!
nimesikiliza habari jioni hii bbc kumbe maandamano yalisababishwa na kijana mmoja ambaye askali jiji walimkamata akiwa anauza matunda mitaani na alipofuatilia na kutaka kupewa mzigo wake ndipo...
Jana au juzi nilimsikia Kamanda wa kikosi cha barabarani, Kamanda Mpinga, akisema kwamba moja ya sababu kubwa mpaka sasa idadi ya watu waliobadilisha leseni mpya kuwa chini ni fact iliyowazi...
Hivi hizi blogs zote zinafanana?
ukienda michuzi habari ndio hizo hizo....ukienda mjengwa au bongo celebrity na zinginezo they all have same news na majority are poorly structured which can be...
Tumewasikia viongozi wa Waislam Tanzania wakidai kama vipi tugawane nchi yetu ya Tanzania. Nionavyo mimi hilo ni wazo la kishetani japo siwezi kuwapinga kwa mawazo yao hayo kwani inawezekana kwao...
Habari za leo wana Jamii Forum! Nimekaa kwa muda nikitafakari tokea siku lilipotokea lile tukio lililolikumba nnchi yetu baada ya jeshi la polisi wakisaidiana na mgambo kuzibiti maandamano...
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), kinatarajia kujenga ukuta kuzunguka eneo lote la chuo hicho, ili kukabiliana na kile ambacho uongozi wake umekiita tishio la uhalifu na uvamizi wa eneo hilo...
Wakuu, naona lile jengo la Zain pale morocco kuna baadhi ya sehemu wamekodishwa watu wengine.
Je na ule mjengo pale opposite na st. peters, wale jamaa wanautumia mjengo wote, au kuna emti spesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.