Nataka kuhama Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka kuhama Tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yo Yo, Jan 17, 2011.

 1. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  I’m thinking deeply of moving to abroad.....i,m sick and tired of a lot of BS in TZ…..NIMECHOKA….


  Kuna mambo ambayo hayawezi kubadilika kwa miaka mingi mpaka wazeee wenye roho mbaya kama Makamba,JK na wenzake wafe,vizazi vyao akina Riz1 wafe na Pia akili za watz wengi mpaka zibadilike…..
  nao ndio kidoogo tz kutaanza kuwa sehemu bora kuishi….haiwezekani mimi nilale giza,nipate dawa zilizo expire,nipite kwenye barabara mbaya,huduma kila sehemu mboovu……siwezi kutaja yoote….so
  Where would I start?
   
 2. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  Karibu tuishi Mbagala Charambe, nadhani huku sio Tz maana kila mtu anafanya anavyotaka, karibu mpwa
   
 3. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Suluhu si kukimbia nchi, tutabanana hapahapa mpaka kieleweke! Hii nchi sio ya Riz1, JK, Makamba, Chagonja na akina mama Salma kikwete peke yao wafanye wanavyotaka. Tanganyika ni ya watanganyika na Zanzibar ni ya wazanzibar, wanaotudharau leo na kujiona wao ndo kila kitu wajue siku zao zinahesabika.

  Uzuri Jenerali ulimwengu alishamuasa Mkwere katika barua yake ndefu ya kwamba " kama hakuna mabadiliko na nia dhati ya kuwasaidia watanzania basi amani tuliyonayo siyo ya kudumu" ni suala la muda tu!
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  LEARN from yesterday, LIVE for today, and HOPE for tomorrow
   
 5. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Ongea na wabeba maboksi watakusaidia mkuu.
  Wazo lako zuri sana. tena sana
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Njoo Kigali huku mambo bomba na dili nyingi sana
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  wewe unafikiri mbeba box kama Nyani ngabu au buduhalim watakushauri nini?
   
 8. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  kigali ntakuja soon hao warembio si wa kitoto.....
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mzee mambo ya huku balaa watoto wana sura ya Kihabeshi si unajua tena.
   
 10. M

  Mabulangati JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 779
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Nitafurahi sana ukihama nchi ili tubaki wachache wenye uzalendo na moyo wa dhati wa kuibadilisha nchi hii. Ila chondechonde ukiondoka usirudi maana katika uhalisia kwa uhuru tuliouzoea huko kwingine hakuna.
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mashori wa uko hawapigi mizinga?
   
 12. s

  shosti JF-Expert Member

  #12
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  bibi yangu mzaa babu anaishi Finland alikuwa akisaka mume wa kumliwaza upo tayari nikuunganishe nae
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  Jan 17, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Siitwi buduhalim dogo.

  Ujeuri wako huo ndio unakuponza.
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  Jan 17, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  maaang i aint looking for love....
  [​IMG]
  ndio uhuru wenyewe huo....
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hawana njaa hizo kama wa bongo
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  wewe na painkiller akili moja.....nipe tactics za kuhepa tz
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ulipokuwepo mwanzo ulitumia tactics gani?
   
 18. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nani kasema? Hata mademu wa Huko mamtoni wanapiga mizinga. Sembuse huko kigali!
   
 19. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #19
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Unajua maana ya ban wewe?
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Jan 17, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  acha zako dogo.....im wa here here(wahapa hapa).....
  mizinga yao sio kama yenu.....nyie mmezidi
  mkimpiga buti PM anakuwa na hasira kweli
   
Loading...