Mwenyekiti wa CTI, Felix Mosha.
Shirikisho la Viwanda Nchini (CTI), limepongeza bajeti ya serikali hasa kusudio la kushushwa na kufutwa kwa baadhi ya kodi na kueleza kwamba...
Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo
Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo (UDP), ametishia kuilipua serikali bungeni akiituhumu kwamba, imefikia...
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (Tasaf) utapata nafasi ya kuonyesha uzoefu wa kunusuru makundi yaliyoathirika zaidi na umaskini katika kongamano litakalowashirikisha wajumbe 200 kutoka nchi 42...
Rais Jakaya Kikwete ameitaka jamii kuwathamini na kuwasaidia Wakunga wa jadi kwa kuwa wanatoa mchango mkubwa katika kuwasaidia wanawake wakati wa kujifungua hasa vijijini.
Alitoa agizo hilo...
Chati ya mapato ya mechi hiyo
Shirikisho la Mpira nchini TFF leo limekubali kwamba limekula hasara kutokana na kuandaa mechi ya Brazil na Taifa Stars ambapo kiasi cha shilingi 1.6bn/- tu kati...
Kwa haiba ya uraisi, umakini wa kuongea, kutokumwaga mitabasamu isyokuwa na mpango, kuchagua mahali pa kuweka utani, adabu ya kiti cha uraisi n.k napata faraja sana nikimsikiliza raisi Karume...
Habari zenu..
Mimi nimezaliwa DAR, Sasa katika cheti changu cha kuzaliwa kwenye place of birth pamejazwa:- Dr K.K.Khan Maternity...nawaomba wana Jf wenye kujua hii sehemu iko wapi wanijuze ili...
Wana JF,
Taarifa nilizozipata muda si mrefu zinasema kwamba mwanamuziki mwimbaji maarufu wa muziki wa dansi Ally Pugi amefariki dunia usiku wa kuamkia jana (12/6/2010) huko Morogoro alikokuwa...
Jamani, kipindi kile watu watu wa deci wamekamatwa, kuna hela kama Billion 11 walikuwa nazo..kiasi ambacho kilikuwa ni kidogo mno kuwalipa watu wote mbegu...kama wangekuwa wanalipa deci walitakiwa...
BAADHI ya wananchi wilayani Korogwe, Tanga, wamelalamika wabunge wao kwa kile walichokielezea kuwa ni kutoshughulikia ipasavyo, matatizo ya mimba kwa wanafunzi wa shule za sekondari za...
Tanzania inapiga vita UKIMWI
Tanzania inategemea sana vijana katika kujenga taifa bora hapo kesho.
Tanzania inahitaji sana wajasiriamali na wafanyabiashara tena wazalendo katika kujenga...
jamani kwa kipindi kisichozidi mwezi mmoja jk katembelea mkoa wa kilimani mara mbili, nahisi ni mkakati wa ccm kuhakikisha majimbo yote ya ubunge kilimani yanaporwa hasa la Ndesapesa na baada...
Hii ni kwa wote wanaotumia junction ya ubungo mataa. wale trafiki wanapendelea sana hii barabara ya Morogoro na kupuuzia hizi za Mandela na Sam Nujoma. wakati mwingine kwa makusudi kabisa...
Catholic nuns held over marijuana plantTuesday, 8th June, 2010 Sisters Nanteza and Rita being led to the Masaka Police Station by Titus Byaruhanga, the district Police commander (second left)...
Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakaya Kikwete amesema kuwa hatazielewa halmashauri nchini ambazo zitashindwa kuchukua hatua za kisheria kwa kuwafikisha mahakamani...
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto ameishambulia CCM kwa kushindwa kuondoa umasikini nchini katika kipindi cha miaka minne iliyopita, licha ya serikali yake kuidhinishiwa bajeti inayoomba...
Leo ni Tarehe 11/6/2010, bado miezi minne na siku Ishirini tufanye uchaguzi mkuu wa nchi yetu. Lakini hadi leo hatuna majina (zaidi ya Lipumba) ya wagombea wa vyama vingine vya siasa kwa nafasi...
We still have a long way to go to reaching democracy in Tanzania. Leaders in all spheres of life and work should be there for the people and have to deliver in order to avoid 'unruly demos'.
By...
People of God, Brodas and Sistos,
Iam back to War.
I went somewhere away for some important errands.
Its good to see you guys back, and i can see a number of changes in-here!
Some pals have...
Leo mapeeeeeema!
Dear Boss,
I wish to let you know that the FIFA World Cup is beginning today. This is not just any other tournament, it's the World Cup!Please note that this tournament takes...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.