Hivi imekaaje jamani, kitu kimeandikwa Cigarette smoking is dangerous to your health bado watu wana-consume!! Simaanishi unyanyapaa, sema ni kitu kinanitatiza sana. Ni kweli huyu mtu yuko tayari kuhatarisha afya yake kwa makusudi/hiari? Au ni addiction? Wenye ufahamu tuelimisheni tafadhali.