mjombajona
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 262
- 50
Kibwagizo cha Mwaka 2011 ni hiki:
Mwaka huu tutakuwa na moja moja nyingi tu - tarehe 1/1/11, 1/11/11, na 11/11/11.
Zaidi ya hilo chukua mwaka uliozaliwa say - 1961
Halafu piga hesabu mwaka huu utakuwa na miaka mingapi (in this case) 50
Jumlisha 61
+50
Jibu 111
Hii ni kwa kila mtu,mwaka aliozaliwa in relation na umri wake mwaka huu!
;