msaada please wanajf

msaada please wanajf

nziriye

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
1,050
Reaction score
365
Wanajf wenzangu kwa member yeyeto aliyepata matokeo ya sekondari ya yusuph makamba nayaomba jamvini tuone kuwa jina huwa linasadifu na matokeo...

Matokeo ya shule ya S1806 YUSUF MAKAMBA SECONDARY SCHOOL ni kama ifuatavyo:-

DIV-I = 2
DIV-II = 4
DIV-III = 19
DIV-IV = 113
FLD = 314

EXAMINATION CENTRE RANKING

EXAMINATION CENTRE REGION- DAR ES SALAAM
TOTAL PASSED CANDIDATES - 138
EXAMINATION CENTRE GPA - 4.6788
CENTRE CATEGORY - CENTRE WITH 40 CANDIDATES OR MORE
CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(REGIONWISE) - 159/200
CENTRE POSITION IN ITS CATEGORY(NATIONWISE) - 2233/3196

Thank you bwana/bi Utamaduni nimeamini kuwa humu duniani jina linasadifu na tabia ya mtu,sasa inakuwaje watu wanaita shule majina ya ajabu ajabu,anyways nampa hongera kwa kufaulisha wanafunzi kwa kiwango cha kufeli ,nadhani nimesomeka,bravo makamba sec school...nawasilisha jamvini

Thank you bwana/bi Utamaduni nimeamini kuwa humu duniani jina linasadifu na tabia ya mtu,sasa inakuwaje watu wanaita shule majina ya ajabu ajabu,anyways nampa hongera kwa kufaulisha wanafunzi kwa kiwango cha kufeli ,nadhani nimesomeka,bravo makamba sec school...nawasilisha jamvini

Kumbe kufaulu kunaendana na jina la shule!!!

Hapo naona watoto waliosoma/wanaosoma kwenye hiyo shule hawatendewi haki,,,, kwa maana siyo wao waliochagua shule iitwe kwa jina hilo....

national examinations council of tanzania

csee 2010 examination results​

s1806 yusuf makamba secondary school
div-i = 2 div-ii = 4 div-iii = 19 div-iv = 113 fld = 314

national examinations council of tanzania

csee 2010 examination results​

s2008 jakaya kikwete secondary school
div-i = 0 div-ii = 1 div-iii = 5 div-iv = 48 fld = 76

s3561 salma kikwete secondary school
div-i = 3 div-ii = 8 div-iii = 27 div-iv = 119 fld = 150

s3691 anna mkapa secondary school
div-i = 0 div-ii = 3 div-iii = 11 div-iv = 69 fld = 109

hv hawa viongozi wetu wanaona fahari kuwa na mijiskuli na mitoto inafeli inajitapa eti na mie ni skuli,tumeona ya makamba yeye ndo hoi kabisaaa nadhani hata mwenye skuli aliwambia wakishndwa swali waandike ccm watapass ,mara kiikwet nae kajipa skuli huko ndo aibu tupu hadi kazidiwa na haka kengne ka bi-mkwere kamejitahidi tuwani tuchache,na tutuu .....maajabu ya musa hadi mrs.ben naye?

Back
Top Bottom