Ccm inaiga nyayo za mbunge lema

Ccm inaiga nyayo za mbunge lema

LUMBAKALA

Senior Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
148
Reaction score
20
Baada ya miaka mingi ya kutawala jimbo la ARUSHA kwa baadhi ya wabunge wa chama tawala {ccm}kutoleta muamko wa mafanikio imeonekana sasa inaiga sera za Mbunge Godbless Lema za kuwasomesha watoto waliofaulu secondari kwa kuwalipia ada wale ambao wazazi wao hawajiwezi.Je tetesi hizi ni za kweli?
 
Back
Top Bottom