msimamo wa Tanzania ni kuwa hatukubaliano na Gbagbo-KIkwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msimamo wa Tanzania ni kuwa hatukubaliano na Gbagbo-KIkwete

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Saint Ivuga, Jan 27, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  Rais amemwambia waziri mkuu wa Canada kuwa nchi yake haikubaliani na uamuzi wa Gbagbo kwa sababu vigezo vyote vinaonyesha kuwa hakushinda uchaguzi..Rais Kikwete aliyasema hayo alipokutana na waziri mkuu wa Canada huko Geneva- uswis


  SOURCE:TBC1 Taarifa ya habari ya saa2
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. nziriye

  nziriye JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 960
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  huyu jamaa bwana ana mambo kweli,haya yetu macho wanajf
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  we unafikiri angetakiwa aseme nin hapa?
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Ukishangaa ya Musa basi subiri uone ya firauni. yangu macho.
   
 6. U

  Uswe JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kukubaliana au kutokubaliana na Gagbo sio issue kwtu, tuambie serikali inafanya nini kutatua tatizo la umeme
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Aachie ngazi kwanza mwenyewe, hii mijitu haina conscience, anajua mwenyewe kuwa hakushinda hafu analaumu wenzake!
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,522
  Likes Received: 19,945
  Trophy Points: 280
  sasa wewe unafikiri yeye atapaza sauti kudai kuwa hakushinda?
   
 9. Ibra Mo

  Ibra Mo JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 795
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Kwanini alishindwa kutoa hiyo Kauli akiwa hapa nyumbani?Binafsi mi naona huo ni unafiki na utumwa wa kifikra na kujishtukia kwa Mkubwa ndomana kauli kama hiyo kaitolea ugenini simply b'coz Demokrasia ya kweli na Utawala Bora na Utawala wa Sheria hauheshimiwi na mifano ipo wazi.
   
 10. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  wikleaks watamuumbua karibuni ni bora angekaa kimya.yale yale ya toa kwanza boriti kwenye jicho lako kabla ya kuona kibanzi kwa mwenzio.
   
Loading...