Scammer na matapeli wanaotumia ict | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Scammer na matapeli wanaotumia ict

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtazamaji, Jan 27, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  wana jf. ni imani yangu kuwa wana jf wengi hawawezi kuingia au kunaswa na mitego ya matapeli au scammers wanatumia ICT kujaribu kuwarubuni.

  Lakini ni wajibu wetu tuwafaamishe ndugu jamaa namarfiki na kundi la watu wengi wasioolewa kuwa kuna utapeli unaweza kuonekana kama si utapeli.

  Wengine wanataumia email wengine wanatumia simu sms za kushinda lotto. Basi tusiishie kuambina sisi wana jf tujaribu kuwaambia watu wenginewanaweza kuwa vulnereable.

  Leo kwenye email JF nimehaidiwa utajiri na huyu scammer wa ivory coast.
  Cha ajabu nimempeleka mtu amabye sio mtumiaji sana wa kompyuta asome basi akafurahi kuwa nimepata dili. Duh nikajua kumbe akipata ujumbe kama huu anaweza kuingizwa mkenge . Imebidi nimppesomo somo.
   
Loading...