kwa kwel leo nilikuwa pale kituo cha polisi wazo hili hali niliyojionea inatisha sana kwa vumbi jembamba linalotoka kiwandani na kuenea eneo lote lile jamani wakazi wa pale kwa hali ile ugonjwa wa tb kwao itakuwa jambo la kawaida nemco ni vyema wangetembelea pale wajionee wenyewe kuwanusulu wakazi wa wazo hill