Serikali sasa yategemea kipato cha mkaa wa majumbani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali sasa yategemea kipato cha mkaa wa majumbani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by BONGOLALA, Jan 27, 2011.

 1. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  ni aibu isiyo na kifani kwa serikali ya jk baada ya TRA kushindwa kukusanya kodi kutokana na uzembe wa watendaji wake sasa imeamua kukusanya kodi za makaa ya kupikia majumbani.kwa kipindi cha wiki moja sasa pale kibaha kuna watu wa maliasili,wakikuta gari ina mkaa hata gunia moja unaambiwa ulipie ushuru sh 6000 kwa gunia, vinginevyo wanataifisha!jee na gesi ndio hiyo bei yake haishikiki na sasa mkaa ndiyo tangazo la serikali nimeliona itv leo sijui tutaishije wa tanzania.
   
Loading...