Wanavyuo wanaipenda chadema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanavyuo wanaipenda chadema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LUMBAKALA, Jan 27, 2011.

 1. L

  LUMBAKALA Senior Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 147
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kuna tetesi kwamba wanavyuo wengi wanakipenda chama cha demokrasia na maendeleo [CHADEMA] Je ni tetesi za kweli???
   
 2. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,935
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  tetesi kutoka wapi
   
 3. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni ukweli maana ndicho chama chenye dira,na wasomi ambao ni waelewa wanakikimbilia
   
 4. z

  zamlock JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  unauliza swali gani hlo hata mtoto mdogo ukimuuliza unapenda dole gumba au dole mbili? Atakujibu dole mbili mwakeee
   
Loading...