Najimnisa yachinja watu!

Najimnisa yachinja watu!

Nyange

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
3,517
Reaction score
1,869
Habari zilizo nifikia sasa hivi ni kwamba Basi lilokuwa likisafiri kutoka Bukoba kuelekea Dar limepata ajali mbaya maeneo ya Kahama, ambapo inasemekana watu 29 wamefariki pale pale. Tafadhari aliyeko huko atupe taarifa ya majeruhi, na ikiwezekana majina ya walio kuwemo. Ee Mungu! Wasaidie! make ajali ni njia nyingine inayo maliza watu hapa Tz.
 
Back
Top Bottom