Watu Kadhaa wafariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu Kadhaa wafariki dunia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KakaJambazi, Jul 30, 2010.

 1. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,031
  Likes Received: 3,231
  Trophy Points: 280
  Nimetaarifiwa kuwa kuna ajali imetokea hivi punde mjini kahama.Maiti 18 mpaka sasa zimefikishwa hospitali ya wilaya.

  Mwenye habari zaidi atujuze tafadhali.
   
 2. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sad news let us wait untill it is veryified!!!!!!!!!!!!
   
 3. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2010
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah! too sad kama ni kweli, Mungu awaweke pema walopoteza maisha pia pole kwa wafiwa.:shock::shock:
  mh. kamaka pease naomba ubadilishe hiyo avatar yako jamani inatisha ati!:sorry:
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  yah ni kweli hiyo ajali imetokea maeneo kabla kidogo ya kufika Ushirombo, ajali ilikuwa ni ya basi (NAJMUNISA** NOT MUCH SURE) LILILOKUWA LINATOKEA BUKOBA NA LIMEGONGANA USO KWA USO NA FUSO LILILOKUWA LINATOKEA USHIROMBO/KAHAMA
  KWA HABARI ZISIZO NA UHAKIKA SANA NI KUWA WATU ZAIDI YA 25 WAMEKUFA

  KWA WANAOFAHAMU HIYO NJIA AJALI IMETOKEA KARIBU NA ROAD BLOCK JUST BAADA YA KUMALIZA PORI LINALOANZIA MSONGA NA NI KILOMITA CHACHE TU KUTOKA USHIROMBO
   
 5. Single D

  Single D JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2010
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 459
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Duh ajali zinamaliza watanzania.Poleni wafiwa.
   
 6. O

  Omumura JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Baada ya ajali kama hiyo ndo utaona traffic wetu wanavokuwa wakali kama nyigu, sipendi mie!
  Poleni wafiwa wote!
   
 7. MIUNDOMBINU

  MIUNDOMBINU JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Poleni sana wote muliopata ajari poleni sana.Mungu awape ahueni mapema.
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Jul 30, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  mmh.. natumaini hakuna idadi kubwa ya watoto imehusika.. (siyo 10 hivi).. RIP
   
Loading...