Simu za Line Mbili Utata Temeke

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
443
18
Wadau, Tangu jana simu za line mbili zimekuwa zikigoma kufanya kazi.... Utakuta line moja inakubali lakini ile ya pili inasema EMERGENCY... Jeh! Kuna mtu anaweza kujua source ya tatizo hili??? kwa sababu ukiwa Posta, Kariakoo na maeneo ya wilaya nyingine kuacha Temeke hapa Dar, zote zinafanya kazi.
 
Unahangaika na simu fake??? Nunua simu original. Hakuna simu za line mbili! Simu unaitumia kwa mashaka! Loh
 
Unahangaika na simu fake??? Nunua simu original. Hakuna simu za line mbili! Simu unaitumia kwa mashaka! Loh

Jibu swali la mdau...simu zenye laini mbili zipo....hata makampuni makubwa kama Samsung wana hiyo simu.Acha kuanza kuleta majungu hapa...kama unajua tatizo changia kama hujui chukua likizo!
 
Jibu swali la mdau...simu zenye laini mbili zipo....hata makampuni makubwa kama Samsung wana hiyo simu.Acha kuanza kuleta majungu hapa...kama unajua tatizo changia kama hujui chukua likizo!
mkuu naomba unifahamishe hiyo model ya mampuni makubwa nami nizitafute hapa kijijini kwetu
 
simu orginal lne mbili as far as i know ni samsung na LG pekee, zilizobaki line 2 ni mchina tu!
 
Line mbili nikimeo jamani katika mwingiliano wa mawimbi lazima zisumbue kwani kila provider ana frequency zake let say voda wanatumia Mega hatz 900-1800,TiGo wanatumia Mhz 900 na wao hapo ndani ya simu kunakitu kinaitwa PF Ic nimoja na motherbord ni moja (Phone Frequency) lazima ichemke ndiyomaana uwezi kusikia zinauja simu mbili wa mara moja!!lazimayapili ionekane kama aipatikani wakati line nyingine inatumika!!Nokia,Motorola, niwatu wasikunyingi katika simu lakini 2line wanasua
 
Suala la Dr CK ni kwa nini simu hizo zenye line mbili zinafanya kazi kwengineko lakini ukiwa Temeke hazifanyi kazi!. So far naona hajapatiwa jawabu muafaka!
 
Hizi simu hazina soko kwa nchi zilizoendelea ambapo watu wengi wanatumia simu za contracts. Kwahiyo hata manufacturer hawaoni incentive ya kutengeneza simu hizi na ndiyo maana simu nyingi za hivi ni fake kutoka china.
 
Kwa jinsi unavyoeleza tatizo haliweze kuwa ni la simu. Simu ni brand gani na inatumia line gani na gani.?

Nikihama kwenye mada sio kweli simu zenye chip mbili au simu za kutoka china ni fake. Nokia hawana kiwanda sweeden lakini wana kiwanda China na Brazil. Kwa nini???? Utasema Nokia wamefungua Kiwanda China sababu wanapenda kutengenza simu fake? Tuache siasa

Nahakika Kampuni za simu zikiingiza kwenye soko/ contract simu zenye chip mbili watu watazikimbilia lakini hawawezi kufanya hivyo sababu ya kibiashra sio kwa sababu ni fake.
 
Kwa takwimu tu; zaidi ya asilimia 60% ya bidhaa fake zilizokamatwa hivi karibuni zikiingia EU zilikuwa zikitokea nchini China. Sasa ukisema kwa kuwa China wanatengeneza bidhaa nyingi zinazouzwa Ulaya, then duniani then hakuna fake, hapo si sahihi. Binafsi nimeomba kufaham hizo brand za line 2 tuanzie hapo kwanza.
 
mkuu naomba unifahamishe hiyo model ya mampuni makubwa nami nizitafute hapa kijijini kwetu

Tafuta Samsung SGH-D780 imekuwa kwenye market kwa muda mrefu...na hapakuwa na malalamiko unless kama umekamata fake lazima itakusumbua!
 
Kwa takwimu tu; zaidi ya asilimia 60% ya bidhaa fake zilizokamatwa hivi karibuni zikiingia EU zilikuwa zikitokea nchini China. Sasa ukisema kwa kuwa China wanatengeneza bidhaa nyingi zinazouzwa Ulaya, then duniani then hakuna fake, hapo si sahihi. Binafsi nimeomba kufaham hizo brand za line 2 tuanzie hapo kwanza.

Sio fake bana labda sema sema ni countfeit. To me ni ushindani wa kibiashara na mambo ya kodi. anyway ngoja tupate elimu ya issue ya jamaa

mkuu naomba unifahamishe hiyo model ya mampuni makubwa nami nizitafute hapa kijijini kwetu
Kuna LG wao wanayo model ya KS666 http://www.lg.com/ae/mobile-phones/all-mobile-phones/dual-sim-phone.jsp
 
Wadau, Tangu jana simu za line mbili zimekuwa zikigoma kufanya kazi.... Utakuta line moja inakubali lakini ile ya pili inasema EMERGENCY... Jeh! Kuna mtu anaweza kujua source ya tatizo hili??? kwa sababu ukiwa Posta, Kariakoo na maeneo ya wilaya nyingine kuacha Temeke hapa Dar, zote zinafanya kazi.

Katika Troublesooting kuna technique moja ya ku identify problem by
isolation. Kwa sababu simu yako ukiwa kindnondoni na ilala line zote mbili zinafanya kazi ila ukienda temeke line moja ina sieze basi hapa tuna isoloate kuwa Simu sio tatizo.

Tatizo ni Mawasiliono kutoka kwenye minara Cell site ya providers wa kampuni XXX kuja kwenye simu yako.

Unaweza kufanya uchunguzi ujue kampuni ya line inayopata tatizo ina
Cell site au minara mingapi karibu na eneo la temeke unalosema.Au ni Mnara gani wa karibu unatumika ukifanya mawasiliano. Unaweza kutumia simu kupata jibu . ukiweka on optin ya kukuonyesha uko mtaa gani. Mara nyingi inakuwa ni location ya ulipo mnara wa kampuni utakaoumia ukifanya mawasiliano.

Kwa hiyo basi tatizo linaweza kuwa

  • signal strength( reception/transmissiion) ya network ya mojawapo wa provider ni ndogo sana maeneo ya temeke.Probably kuna Cell site za kampuni XXX ziko down na zikirudi hewani hutapata tatizo hata ukiwa temeke..Tatizo hili la udhaifu wa signal linaweza kuchangiwa pia na kuongezeka kwa trafific ya mawasiliona eneo fulani bila kampuni husika kuongeza minara/cell site/ Transceiver

  • Kuna mdau kagusia inteference mitandao ya simu yote inatumia frequency ya aina moja(btn 900-1800) na kwa kuwa unatumia simu moja mtandao 1ja lazima uumie.Kwa elimu yangu ndogo nadhani tatizo ni combinataion la hayo mawili.

    Kwa kuendelea kufanya
    isolation ya kutambua tatizo halisi unaweza kujarbu kutoa line isiyokuwa na tatizo unapokuwa eneo la temeke unapopata tatizo. Then ile line inayokuwa na tatizo ikifanya kazi wakati unatumia chip moja basi conlusion itakuwa vile vile kuwa tatizo ni inteference +weak signal za kampuni husika.

    Nawasilisha kwa mjadala zaidi
 
Jamani kama hujui sema siyo unakuwa unaleta assumption ambazo siyo kweli na unashindwa kujibu mada
Swali lililopo ni Kuwa Kwanini Simu ifanye kazi Sehemu nyingine isipokuwa Temeke tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom