Wamasai wauziwa bahari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamasai wauziwa bahari

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiranja Mkuu, Jul 30, 2010.

 1. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wamasai watano wakazi wa arusha,
  jana waliuziwa viwanja baharini baada ya maji kupwa.
  Wauzaji wa viwanja hivyo wanashikiliwa sentro, niko hapa nikiwa nipigwa na bumbuwazi maana nikiwa mdogo nlisha wahi kusikia habari ya msukuma kuuziwa bahari leo nimeyaona kwa macho
   
 2. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 563
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  iZ IT TRUE? KNA EVIDENCE NYINGINE?
   
 3. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,870
  Likes Received: 243
  Trophy Points: 160
  Masikini hawa jamaa, hata kuogelea hawajui
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jul 30, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,958
  Likes Received: 2,629
  Trophy Points: 280
  ubaya upo wapi si ndio wameuziwa beach au?
   
 5. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #5
  Jul 30, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,465
  Likes Received: 3,350
  Trophy Points: 280
  .....wao wanajua kuchunga tu mifugo!
   
 6. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #6
  Jul 30, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,466
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  mbavu zangu jamani... kweli mjini shule...!!
   
 7. L

  Lady JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2010
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 277
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ahahaha! lol! my nduguz!!!!!!!!!!!!
   
 8. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  usicheke. leo kwa mwenzio kesho kwako
   
Loading...