Wana jf hili nalo muhimu.......... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jf hili nalo muhimu..........

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by The Boss, Aug 1, 2010.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Hapa jf sometimes mtu anakuja na post akisema ana habari za
  uhakika kwa jambo fulani lakini baadae hizo habari zikiwa tofauti hatupati
  maelezo ya kutosha....

  Mfano kuliwa na post zamani zikisema habari za uhakika kuwa
  kikwete hatagombea tena urais kwa sababu za kiafya....

  But now anagombea no one aliekuja kutueleza what happened????

  Na habari nyingine nyingi kama vile hussein mwinyi kugombea urais 2010
  na kadhalika....

  Saa ushauri wangu kwa wana jf,kama mtu umekuja na habaro ambayo

  it turn out imekuwa tofauti na ulivyoripoti basi pawepo na maelezo
  ya ufafanuzi.....

  Mimi nafikiri itasaidia sana........
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Aug 1, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  nafikiri inabidi uanze wewe mwenyewe kwa kutafuta habari hizo na kukumbushia unaonaje mmeku
   
Loading...