Wanajamvi naomba niilite hili jambo mbele yenu.!
Leo hii nimepotelewa na simu yangu mtandao wa TIGO na nimesajili namba yangu, nikaomba simu ya mtu ili nipige CUstomer Service wa block line yangu...
[FONT="Lucida Console"]One of the most common sights we see these days, is that of people with their mobile phones next to their ears. A boon for better communication, cell phone usage nonetheless...
Hivi hawa Wadada asilimia kubwa wanapenda sana kula chips mayai, kwa mfano mavyuoni huko, ukiona foleni ya kwenda kuchukua chips mayai utakuta asilimia kubwa waliojipanga kwenye foleni ni wa-dada...
Hii imekaaje wadau?nna mskaji wangu kaoa mzungu,eti wanaratiba ya kufanya tendo la ndoa yaani ni mara mbili kwa wiki ijumaa na jumatano,hivi kwa sie waafrika inawezekana kweli au ndo mambo ya...
What's the real official capital of South Africa?
Pretoria (aka Thswane) is the administrative or real capital of South Africa.
Capetown is the legislative capital while Bloemfontein is...
Kuna dada mmoja ambaye alipata Mimba kabla ya kuolewa, na baada ya kujifungua akaamua kuchimba shimo na kumfukia mwanae hadi shingoni, lakini Mungu si juma wala george, wapita njia wakakikuta...
Ndugu zanguni wa JF leo nimeona nilitoe hili bomu, kwani kuna mambo ambayo baadhi ya wadau kwenye hizi taasisi wamekuwa wakifanya au kufanyiwa na wao kuona ni kawaida kabisa. Angalia mambo...
Je kwa uzoefu wako ni huduma gani unaiona inatolewa kwa ubora/kiwango cha hali ya juu in DAR?kwa mfano
1.benki
2.hospitali
3.shule
4.mtandao wa simu/internet
5.hoteli/mgahawa
6.club/pub...
This week Facebook will register its 500 millionth member. It's a milestone both significant and meaningless: yes, it's a reminder of just how big the social-media giant has become, but reallydid...
Hivi hawa watangazaji wa TBC hasa wale wa kipindi cha Jambo cha asubuhi ambao wanalipwa na kodi zetu wadanganyika wamesomea kweli kazi yao vizuri?
Kwao suala la time management naona ni SIFURI...
Watanzania tuna ugonjwa mbaya wa kutokufuatilia mambo mpaka yafikie hatima yake. Nadhani vyombo vyetu vya habari ni muhimu visaidie katika hili. Sijui wadau wengine mnasemaje. Kwa mfano sijui...
Hivi Karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watanzania wanaoshiriki michezo mbalimbali ya bahati nasibu inayochezeshwa na hizi kampuni za simu ( Tigo , Vodacom, Zain na Zantel). Ni vigumu Kumbadili...
Kwa wale watumiaji wa barabara ya old bagamoyo (ile njia ya kuja mjini kupitia kawe, mikocheni, msasani nk) mnaweza kuwa mmemwona yule jamaa aliyeamua kuishi kando ya barabara mbele kidogo ya lile...
Mwanaume mmoja wa nchini India ambaye alitaka kuvunja uhusiano na bi harusi kwenye dakika za mwisho kabla ya harusi, alipewa mkong'oto na kulazimishwa kumuoa bi harusi wake.Video iliyoonyeshwa na...
SALAAM ALEYKUM NYOTE,
Pamoja na ugeni wangu, naomba kufungua mada ifuatayo nikitaraji michango yenu itanifungua macho zaidi kuhusu nchi yetu tunayoipenda na kuiozesha kwa makusudi katika kila...
1. The garden of Eden was in Iraq.
2. Mesopotamia, which is now Iraq, was the cradle of civilization!
3. Noah built the ark in Iraq.
4. The Tower of Babel was in Iraq.
5. Abraham was from...
As you requested, this is the short version:
I would like to draw your attention on Oil Link Filling Station, at the adjacent of Mwenge Road and Shekilango around Africa Sana opposite the...