Ratiba ya mapenzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ratiba ya mapenzi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kukuna, Jul 22, 2010.

 1. k

  kukuna Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii imekaaje wadau?nna mskaji wangu kaoa mzungu,eti wanaratiba ya kufanya tendo la ndoa yaani ni mara mbili kwa wiki ijumaa na jumatano,hivi kwa sie waafrika inawezekana kweli au ndo mambo ya kulazimishana uasherati!!
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  hoja yako siyo mbaya sana, lakini kama ungeiweka jukwaa husika ingenoga zaidi
   
 3. Kamtori

  Kamtori Member

  #3
  Jul 22, 2010
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kwa nini rafiki yako anakwambia mambo yake ya ndani? Waafrica wanakua na ratiba ya mara ngapi kwa wiki? au ndo as needed!!!!
   
 4. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kama wao wamekubalina kwani shida iko wapi? Acha waishi kwa ratiba!!
   
 5. Yegomasika

  Yegomasika JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 21, 2009
  Messages: 7,125
  Likes Received: 23,734
  Trophy Points: 280
  Mambo kwa schedule bana.
   
 6. k

  kukuna Member

  #6
  Jul 22, 2010
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sidhani kama ni makubaliano kwasababu analalamika waziwazi,sio kwangu tu washkaji wote wanaijua hiyo latiba.
   
 7. Njaa

  Njaa JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2010
  Joined: Dec 6, 2009
  Messages: 970
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 60
  Twice a week once a time! hahahahahhahah
  I hate that*****
   
 8. A

  Audax JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2010
  Joined: Mar 4, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  c makubaliono? sasa kama mwenyewe alikubali-analalamika nini sasa?
   
 9. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Pole yake. Alipokuwa anaoa mzungu hakujua hilo? Mwanamke mzungu ndiye anaye-command nyumba, ndiye mwenye maamuzi kwa kila jambo, hata tendo la ndoa. Mwanaume ni kuitikia tu. Hujafuata utaratibu wake, huna mke, yaani mnaachana kwa sababu hawapendi kuendeshwa na mwanaume awe mweusi au mzungu mwenzao. Sasa huyu bwana alalamika nini leo ? Hakumfahamu namna zake? Uzuri weupe si wanafiki, wala hawafichi kile wanachokiamini.Wako wazi kabisa. Kitu gani hakujua? Basi avumilie tu ndo ndoa yenyewe. Kama anaona ni noma basi achukue utaratibu mwingine. Lakini azungumze na mkewe kwanza na kumweleza mahitaji yake ya mwili kabla ya kuchukua hatua nyingine.
   
 10. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Hayo ni makubaliano yao hayahusiani na makubaliano yangu na mamsapu! By the way umejiandikisha kupiga kura?
   
 11. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Kama wote walipitisha kwenye katiba ya mji wao, sioni tatizo!..ila kama kakulalamikia basi hajaridhika,aongee na wife wake wabadili ratiba!!!
   
 12. k

  kukuna Member

  #12
  Jul 23, 2010
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ka majibu yenu nimegundua kumbe kuna ndoa kibao zina ratiba mi kwa muono wangu,kama vile yakianza mambo yaratiba basi kunakuchokana fulani yaani inamaana hakuna hata zile hamu za hapa na pale kwa wana ndoa,kama mkiwa hamjapata watoto mmepoa tu wewe na mkeo hamuwezi hata kupasha mnasubili ratiba ifikie?jamaa ni newly wed hana watoto bado.
   
 13. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #13
  Jul 23, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Duh hii sijui,manake ukikabwa sana kula chakula jumapili ina maana usubiri hadi jumatano ijayo?
   
Loading...