Jamani TBC wamezidi Kuboa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani TBC wamezidi Kuboa!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SirBonge, Jul 20, 2010.

 1. S

  SirBonge JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2010
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 349
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 60
  Hivi hawa watangazaji wa TBC hasa wale wa kipindi cha Jambo cha asubuhi ambao wanalipwa na kodi zetu wadanganyika wamesomea kweli kazi yao vizuri?
  Kwao suala la time management naona ni SIFURI KABISA...Kila siku wana'rush kama vile hawajui kipindi kinatakiwa kichukue muda gani kumalizika..
  Anayekera zaidi ni huyu Joe Kihampa wakati wa akusoma heading za magazeti...watu tunakuwa very anxious kujua yaliyoandikwa lkn yeye anayashikashika kwanza zikibaki sekunde 30 ndo anaanza ku'rush hata vitu vya maana anaviacha- Waangalie mfano Channel 10.
  Sio yeye tu wote wanaonekana hawajui kabisa suala la muda, hebu waangalie mfano wenzao wa CNN walivyo strict na accurate.
   
 2. I

  Ikena JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2010
  Joined: Oct 24, 2007
  Messages: 482
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 60
  Mi ka msami hayupo siku hiyo, sijihangaishagi kusubiri magazeti ya tbc, nabadili channel.
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Jul 21, 2010
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,005
  Likes Received: 3,189
  Trophy Points: 280
  Mkuu uwe unaangalia magazeti ya star tv.Wao hutumia dk 28 ivi kusoma vichwa vya habari.

  Joe Kihamba ye huwa eti anauwezo ya kuyasoma yote kwa sekunde 30 - 40.
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Jul 21, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,551
  Likes Received: 18,226
  Trophy Points: 280
  Ukiondoa mapungufu madogo madogo kama hayo, TBC is doing its best, japo need to do more.
  Ukilinganisha na ilipokuwa TVT, utakubaliana na mimi, kwa sasa, TBC inahitaji pongezi na sio lawama.

  TBC, inawatangazaji zaidi ya 60, sasa huyo mmoja tuu anayeboa, asitumike kuipotray TBC mnaboa as if ndio TBC yote.
  Jamani tuwe huru kutumia vizuri freedom zetu of expression kuelezea yale yanayotukera, ila pia tusiwe wepesi kuelezea mauzi na kero tuu, mara moja moja pia tuwe tuna complement kwa mazuri machache kwenye hilo lundo la madhaifu, sio tuu kulalamika wee as if TBC does nothing good, ni kuboa tuu.

  Pia ni kweli, TBC inatakiwa kujitahidi kufikia viwango vya BBC, CNN, Al jazeeras etc, nimebahatika kutembelea TBC na pia kutembelea makao makuu ya CCN pale Atlanta, ndugu zangu, hivi ni vitu viwili tofauti, the only thing in common, ni zote ni TV Stations nothing more, just like tembo na sisimizi, comparizon na TBC ni unfair.
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 21, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kufaidi habari za magazeti angalia star TV hata taarifa zao za habari kwenye updande wa habari za kimataifa na michezo zimetulia sana kuliko TBC na hata ITV
   
 6. j

  japhet john New Member

  #6
  Jul 21, 2010
  Joined: Jul 19, 2010
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakubaliana nawe kabisa startv kwenye habari za kimataifa wanaeleza kwa ufasaha sana,wanaobore ni ITV habari za kimataifa ni kama vile joe kihampa anasoma magazeti!PIA TBC KWA WATU TUNAOTUMIA DSTV MNAKATAKATA SANA JAMANI
   
 7. N

  Nick Member

  #7
  Jul 21, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 55
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Nadhani una lako jambo la kuwaponda TBC. Ungekuwa muungana zaidi ungelalamaa kwanini ITV matangazo yao ni yale yale ya kila siku mara ngapi sijui kwa siku kama yale ya Mwalim, haki elimu, ukimwa, usidanganyike na mengine mengi. Nadhani ITV ndo wanaongoza kwa kuboa watazamaji wake.
  Hongera sana TBC
   
 8. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #8
  Jul 21, 2010
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwa hivyo kama kuna jambo linakera watu wasiseme eti kwa vile mengine ni mazuri? Utajirekebisha vipi usipoambiwa unachofanya sicho?
   
 9. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #9
  Jul 21, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Naona kama kuna chuki binafsi vile..............!!!!!!!!
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Jul 21, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  TBC wapo bias kinoma.
  Ni kama channel ya CCM vile.
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Jul 21, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  I hate TBC!...Hat ukiangalia mambo ya sisiem kwa sasa yanatangazwa kwa muda mwingi sana!...Siamini kama ni kwa sababu wanalipia airtime!...Ina maana vyama vigine havina activities zozote zinazovutia kuwa habari?...Ni kweli wameimprove katika quality ya matangazo, lakini ni wabaguzi wa kufa!
   
 12. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  No!! go are way with your TBC hatakama nimwajiriwa hapa tunasema kilichopo mezani cnn unaweza ukaitolea mifano??Tolea mifano kwa local channel's that why wanakwambia tizama Star tv!!TBC wanakula kodi nichombokinaendeshwa waodi yangu nayako!!iweje uwatetee hadharani??
  as if niya mwananchi unamwambia anajitahidi??Aiingii akilini Kama unajua kutizama angalia vipindi vya maneno na sauti vinasiga ni Tv gani inafanya hivyo???Pesa yetu ina uma!!:angry:
   
 13. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Habari za ITV za Afrika Mashariki ndo zinaboa kuliko zote, utafikiri nyani anayedandia tawi moja hadi jingine.Tatizo la TBC ni uzalendo unaovuka kiasi, hata hivyo tunawaelewa hicho chombo cha umma , nani apendaye kujipiga risasi mguuni?
   
 14. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #14
  Jul 21, 2010
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  Asante sana kwa kumsaidia huyu jamaa maana hata mie sielewi kama mtu ana mapungufu na sifa kede kede lakini kama anamapungufu asiambiwe...?
   
 15. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #15
  Jul 21, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ni vigumu sana sisi kuendelea maana kila wateja wa huduma fulani wanapolalamika basi lazima watatokea watu wengine na kujifariji kuwa eti "Tunajitahidi!". Jamani we are 50 years old as a nation, for Christ's sake! Kuna upuuzi mwingine hatutakiwi kuuelea eti kwa vile tu "Wanajitahidi!"
  Hebu angalia mtangazaji kama Marini Hassan. Hivi huyu anajua kuwa sekunde moja katika televisheni ni Muhimu na gharama sanaa? Anajivuuta kwa mapozi na kila neno lazima alirudie rudie kwa pozi. Time is Money, jamani!
   
 16. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #16
  Jul 21, 2010
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,793
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ni vigumu sana sisi kuendelea maana kila wateja wa huduma fulani wanapolalamika basi lazima watatokea watu wengine na kujifariji kuwa eti "Tunajitahidi!". Jamani we are 50 years old as a nation, for Christ's sake! Kuna upuuzi mwingine hatutakiwi kuuelea eti kwa vile tu "Wanajitahidi!"
  Hebu angalia mtangazaji kama Marini Hassan. Hivi huyu anajua kuwa sekunde moja katika televisheni ni Muhimu na gharama sanaa? Anajivuuta kwa mapozi na kila neno lazima alirudie rudie kwa pozi. Time is Money, jamani!
   
Loading...