Wadada na Chips Mayai!!!!

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,107
2,504
Hivi hawa Wadada asilimia kubwa wanapenda sana kula chips mayai, kwa mfano mavyuoni huko, ukiona foleni ya kwenda kuchukua chips mayai utakuta asilimia kubwa waliojipanga kwenye foleni ni wa-dada kuliko ma-men.

Hebu niambie kuna nini hapa??? Au ni vyakula vinavyowafanya wawe mayai mayai?????
 
Hiyo hulka waliyonayo dada zetu ni mbaya wanapenda sana vitu vya kuiga.Wanafuata maisha ya nje.
 
Kuna dada mmoja nilimuuliza kuhusu hili, yeye alichonijibu ni kwamba wadada wengi hawapendi kwenda haja kubwa, aliniambia chips ukila mfululizo unapata choo baada ya siku kadhaa,nilicheka nikamwambia siamini hayo aliyoniambia,akaniambie nijaribu nione matokeo yake,lkn kidogo naona kama nakubaliana na huyo dada!
 
Haya ya ajabu kabisa! Sasa kwa nini hawataki kwenda haja kubwa hao wadada? Si ndiyo afya hiyo? Ama? Chakula kinachofunga tumbo kwa siku 2 au 3 bila kwenda haja hakifai kwani constipation si nzuri kwa afya. Hivi kumbe kwenda haja kubwa wengine wanakuchukia! Sikujua.
 
Mi nilidhani hujui ndio maana umeuliza kumbe una theories zako sasa baada ya kula kwa siku kadha ulipata choo? Mi nilikuwa nakula shule na chuoni na toilet kila siku.
 
Kutumia natumia nikiwa na hamu sana,lkn si unajua vichwa vya wakubwa huwa ni vichwa vya kujiuliza sana likiona jambo lolote maishani mwetu, lililonifanya nijiulize ni idadi ya foleni ya wadada!
 
Mi nilidhani hujui ndio maana umeuliza kumbe una theories zako sasa baada ya kula kwa siku kadha ulipata choo? Mi nilikuwa nakula shule na chuoni na toilet kila siku.

We jaribu kula chips mayai mfululizo bila kuchanganya nyama au chochote kile lkn na maji lazima pembeni iwepo. Uone matokeo yake.
 
Haya ya ajabu kabisa! Sasa kwa nini hawataki kwenda haja kubwa hao wadada? Si ndiyo afya hiyo? Ama? Chakula kinachofunga tumbo kwa siku 2 au 3 bila kwenda haja hakifai kwani constipation si nzuri kwa afya. Hivi kumbe kwenda haja kubwa wengine wanakuchukia! Sikujua.

Kwa mujibu wa huyo dada.
 
wanaume hushiriki kuchimba kaburi na kubeba majeneza hivyo hula sembe na nyama, lakini kina dada wenyewe physiology yao inawaruhusu kuwa dhaifu kimaumbo na kwa sababu hiyo wanakula vyakula laini kama ulivyotaja hapo juu
 
mazingira na uchumi pia yanachangia sana. chuoni utakula nn zaidi ya kiepe yai, wali nyama/maharage mar achache. chipsi ni fast afu unapewa ikiwa moto moto imekaangwa na mafuta ya transfoma, binafsi kula miubwabwa ubwabwa kule kwa wale mama ntilie /cafeteria sikuwa napenda aisee (hygiene standards kikwazo) bora kiepe kinazungushwa motoni nikiona!!!
 
Kuna dada mmoja nilimuuliza kuhusu hili, yeye alichonijibu ni kwamba wadada wengi hawapendi kwenda haja kubwa, aliniambia chips ukila mfululizo unapata choo baada ya siku kadhaa,nilicheka nikamwambia siamini hayo aliyoniambia,akaniambie nijaribu nione matokeo yake,lkn kidogo naona kama nakubaliana na huyo dada!

Ina maana na wewe umekula hivyo haupati haja kwa siku kadhaa?
 
wanaume hushiriki kuchimba kaburi na kubeba majeneza hivyo hula sembe na nyama, lakini kina dada wenyewe physiology yao inawaruhusu kuwa dhaifu kimaumbo na kwa sababu hiyo wanakula vyakula laini kama ulivyotaja hapo juu
..Minda, usisahau pia kuwa wanatakiwa kuwa laini ili watuvutie. Si vizuri mtoto wa kike ukimshika mkono utadhani umeshika kigogo cha mti...Let them eat that chips mayai na vingine vyote vinavyoweza kuwafanya kuwa laini zaidi.....:A S tongue::A S tongue::A S tongue:
 
hahaha! Nimecheka kweli hapo kwenye red kaka!!

Wengine wanadai eti ni kuboresha kitega uchumi!!!!
 
Kiukweli hujakosea ni 700 kwenda 800! Ila unakosa virutubisho katika mwili jamani si ndiyo? Chips mayai haijakamilika bana!

mkuu hapo si unaikamilisha mwenyewe....ongeza kachumbari[salad],matunda,ukiweza na mishikaki/vikuku kadhaa..... hata ukila ugali+nyama bila matunda na salad hauwezi kukamilika......
 
Ila uongo mbaya hayo machips mayai huwa yanaleta sana gesi tumboni. Ukiendekeza kula lazima utakuwa unajamba jamba sana...
 
Tena tu akiwa anapenda zege rojorojo aah!..sionagi utamu wake kabisa zaidi ya kuchafua hewa!! Mie mshale na nyama hunitoi, ha ha siyo hivi vyepe!!
 
Back
Top Bottom