Makao makuu ya tanzania dodoma vs dar es salaam, tuige south africa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makao makuu ya tanzania dodoma vs dar es salaam, tuige south africa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Edo, Jul 22, 2010.

 1. E

  Edo JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  What's the real official capital of South Africa?

  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Pretoria (aka Thswane) is the administrative or real capital of South Africa.
  Capetown is the legislative capital while Bloemfontein is the judicial capital.[/FONT]
  [FONT=&quot]Source(s):[/FONT]
  http://answers.yahoo.com/question
   
 2. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkuu, si lazima tuige kila kitu. Utakuwa mvivu wa kufikiri kama kila siku unategemea kuiga-iga tu.
  Tulikuwa na mpango wetu wa kuifanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi, Bunge na Serikali nzima. hatuna sababu ya kurudi nyuma kwa uvivu wa utekelezaji mpango huu na ku-copy wa SA. After all, huo uliokuwepo ni kama vile uli-cop-iwa toka Nigeria.

  Let Dodoma be the capital City.
   
Loading...